Avatar zenye kuleta utata,muulize muhusika.

Avatar zenye kuleta utata,muulize muhusika.

Utata gani Umeona
Rafiki napata taabu sana![emoji116][emoji39][emoji39][emoji39]
1544640586859.jpeg
 
Ebu ngoja nikae kwa hapa...[emoji30][emoji30][emoji30]
 
Mapenzi ya jf bwana ona sasa Archduke na Madame S nimejikuta nimecheka sana, Sesten Zakazaka ndo alikuwa anawaombea kila siku.

Ha ha ha ha niko hoi kwa kicheko halafu archduke kabla ya madame alikuwa na mwingine humu.
😀😀😀 mkuu inaonekana unanijua vizuri sana pamoja na uliyowataja hapo juu isn't???

hebu mtaje huyo mwingine maana me hata simjui unajua?? halafu hii ni id yako mpya au umebadili jina eti mkuu

never seen before
 
Back
Top Bottom