Wilo12
JF-Expert Member
- Oct 17, 2018
- 287
- 423
Utata gani Umeonayako pia ni tata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utata gani Umeonayako pia ni tata
naona jiwe linavyofaidiUtata gani Umeona
Huyu ni wewe?Hemu iangalieni na avatar yangu mnipe maksi.
Rafiki napata taabu sana![emoji116][emoji39][emoji39][emoji39]Utata gani Umeona
Yakwako haieleweki u Me au Ke..Hemu iangalieni na avatar yangu mnipe maksi.
Ukiiangalia kwa umakini utaielewa.Yakwako haieleweki u Me au Ke..
twende taratibu kwanza chura master, mfano akinipa nini dada mziguaKwa hiyo humtaki?Mzigua huyu hapa,akikupa utakataa mkuu?[emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 976884
huyo luteni ambaye ni komando unamjua ?Haaaaaa hiyo yako noma mzee aliogopa kuaibika
Naam, R.I.P komando malota!!! Mwaka sasa hatunaehuyo luteni ambaye ni komando unamjua ?
Hemu iangalieni na avatar yangu mnipe maksi.
duuh poleni ilikuaje mkuu ?Naam, R.I.P komando malota!!! Mwaka sasa hatunae
duuh poleni ilikuaje mkuu ?
😀😀😀 mkuu inaonekana unanijua vizuri sana pamoja na uliyowataja hapo juu isn't???Mapenzi ya jf bwana ona sasa Archduke na Madame S nimejikuta nimecheka sana, Sesten Zakazaka ndo alikuwa anawaombea kila siku.
Ha ha ha ha niko hoi kwa kicheko halafu archduke kabla ya madame alikuwa na mwingine humu.