Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Jamani huu unafiki mnaosema unatokea wapi? wakati yeye mwenyewe Carmel amekiri kuwa AVATAR inamletea matatizo na ushahidi anao.Vinginevyo Carmel unatuzushia na hii thread azawaiz hakuna cha unafiki hapa.Avatar ni kichocheo kwa wengi.ukiibadilisha nitakushangaa sana.
anaejifanya ina mkwaza ni mnafiki kupita kiasi.
kwenye tv na mitaani tunaona migongo mingapi iliyo wazi?
sembuse hiyo picha tena ya kuchora????
mimi naona humu jf kuna unafiki wa walokole
umeingia humu,
mtu huwezi hata kuzungumza kitu,
watajifanya wanamjua Mungu kuliko Mungu mwenyewe.