Avatar

Avatar

ukiibadilisha nitakushangaa sana.
anaejifanya ina mkwaza ni mnafiki kupita kiasi.
kwenye tv na mitaani tunaona migongo mingapi iliyo wazi?
sembuse hiyo picha tena ya kuchora????

mimi naona humu jf kuna unafiki wa walokole
umeingia humu,
mtu huwezi hata kuzungumza kitu,
watajifanya wanamjua Mungu kuliko Mungu mwenyewe.
Jamani huu unafiki mnaosema unatokea wapi? wakati yeye mwenyewe Carmel amekiri kuwa AVATAR inamletea matatizo na ushahidi anao.Vinginevyo Carmel unatuzushia na hii thread azawaiz hakuna cha unafiki hapa.Avatar ni kichocheo kwa wengi.
 
Tunamwendo mrefu wa kutembea kwenye mabonde na maforest ya giza kinene mpaka kufikia huko tunapokwenda.

Yaani AVATAR tu watu wamechanganyikiwa kabisa, Carmel usibadilishe iache hivyo hivyo, nyie mnaotuma PM'S kwa Carmel stop it now.
 
[B said:
bht [/B];810267]

haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah umeanza tena eeeh!!!???

unajua huyu dada anapenda sana kutukandia wanaume, anatumia kamsemo ka kinyamwezi eti "men and their brain" sasa kisaikologia avatar zina mashiko makubwa sana ......................... ndio maana unashtuka dear................ maslimie mchumba wangu, nimeishamuona anachungulia hapa lakini naogopa kumsalimia. si ulisema mkali................????//// nisaidie kuniunganisha please..............
 
hehehe!kapigwa za uso na charity kwenye sredi yake...!sasa kaja na tu-hasira hasira twake hapa,lol!MA-LIJENDI BANA
Basi wajameni, acheni hizo.
 
mwnzangu watu wanataka kunitoa macho huku kwenye pm lol! mie mke wa mtu siuzi! am not available at all. kuna kufuli😀

hahaha sijui kwenye jina pale labda kunatakiwa tuweke Mrs carmel or Mrs Firslady ,,Mama Charity ,Commited bht..Wifetobe -Pearl
Labda !!!
 
unajua huyu dada anapenda sana kutukandia wanaume, anatumia kamsemo ka kinyamwezi eti "men and their brain" sasa kisaikologia avatar zina mashiko makubwa sana ......................... ndio maana unashtuka dear................ maslimie mchumba wangu, nimeishamuona anachungulia hapa lakini naogopa kumsalimia. si ulisema mkali................????//// nisaidie kuniunganisha please..............

mmh hali ya hewa sio nzuri leo.......ngoja nikanywe maji kwanza
 
ah ah ah u made my dei swty,maybe tufanye hivyo eti eeeeeeh,na wao waandike baba chausiku,mzee wa kupitia tu madem,jambazi,kaoa kaacha,asiye na huruma etc
hahaha sijui kwenye jina pale labda kunatakiwa tuweke Mrs carmel or Mrs Firslady ,,Mama Charity ,Commited bht..Wifetobe -Pearl
Labda !!!
 
Basi wajameni, acheni hizo.
Yalishaisha!sasa yeye kumbe anakijiba cha roho kakibeba KWAPU KWAPU mpaka huku.ndo maana kaingia na gia kubwa...!wataalamu tukawa tunamsoma mchezo tu.
 
hahaha sijui kwenye jina pale labda kunatakiwa tuweke Mrs carmel or Mrs Firslady ,,Mama Charity ,Commited bht..Wifetobe -Pearl
Labda !!!
ha haaaaaaaaaaaaa, una akili sana wewe lol! would that help?
 
hahahaaaaaaaaaaaa ................a lady of "men and their brain"...............sasa kama avatar hzina matatizo kipsychologia, why do you like to kill me????

Na mtu anapoweka hiyo avatar anategemea kitu fulani au anaichagua kwa sababu fulani,

sasa kama watu watazidisha hizo PM si una kula jiwe tu... nini tena ??
 
ha haaaaaaaaaaaaa, una akili sana wewe lol! would that help?
hapo ndo mtakuwa mmeharibu!uzoefu unatuthibitishia kwamba hakuna wanawake wenye mvuto KAMA WAKE ZA WATU!.....
 
hahaha sijui kwenye jina pale labda kunatakiwa tuweke Mrs carmel or Mrs Firslady ,,Mama Charity ,Commited bht..Wifetobe -Pearl
Labda !!!
aahhhahahahah.yani FL1 umenichekesha kweli.pengine hiyo itasaidia.afu wengi huwa ukiwaambia nina mme,au watoto au engaged utaona na Pm zimekata.Ni tabu tupu.
 
unajua huyu dada anapenda sana kutukandia wanaume, anatumia kamsemo ka kinyamwezi eti "men and their brain" sasa kisaikologia avatar zina mashiko makubwa sana ......................... ndio maana unashtuka dear................ maslimie mchumba wangu, nimeishamuona anachungulia hapa lakini naogopa kumsalimia. si ulisema mkali................????//// nisaidie kuniunganisha please..............

usianze kunisema mie nakusikia...😀

sasa nyie hata avatar zinawagusa... lol... this shows how ur brain function... sisi wanawake tunakuwa hatukusidii hivyo... hata ukivaa nguo ukapendeza mijitu itaaanza kukubore kama umewavalia wao... 😕
 
hahaha sijui kwenye jina pale labda kunatakiwa tuweke Mrs carmel or Mrs Firslady ,,Mama Charity ,Commited bht..Wifetobe -Pearl
Labda !!!

sasa tabu ote ya nini kubadili ma-ID?????/// mnakimbia majukumu ya kuwa wanawake????????? huo mnaoita usmbufu ndio fursa za pekee kwenu kuirekebisha na hata kuitawala dunia kama mnataka. ndio mpango wa Mungu huo msichoke mapema hivi jamani, hamtaki tuwatongoze.............mmesahau maji hufuata mkondo?....................hata mkibadili, mtatongozwa tu. si mnatembea na kudhibiti"miundombinu stareheshi"??????.

haya anzeni kututongoza nyie kama mnaweza....................
 
Tena wewe big brother, nilishawahi hata kuku-consult kwa swala hili, unakumbuka? kwani wanaume mkoje?

Unakumbuka nilikushaurije?
Narudia tena mamaa la Carmel!
Ukiitoa hiyo avatar unaingia kwenye IGNORE LIST yangu
 
Back
Top Bottom