Avatar

Jamani huu unafiki mnaosema unatokea wapi? wakati yeye mwenyewe Carmel amekiri kuwa AVATAR inamletea matatizo na ushahidi anao.Vinginevyo Carmel unatuzushia na hii thread azawaiz hakuna cha unafiki hapa.Avatar ni kichocheo kwa wengi.
 
Tunamwendo mrefu wa kutembea kwenye mabonde na maforest ya giza kinene mpaka kufikia huko tunapokwenda.

Yaani AVATAR tu watu wamechanganyikiwa kabisa, Carmel usibadilishe iache hivyo hivyo, nyie mnaotuma PM'S kwa Carmel stop it now.
 
hehehe!kapigwa za uso na charity kwenye sredi yake...!sasa kaja na tu-hasira hasira twake hapa,lol!MA-LIJENDI BANA
Basi wajameni, acheni hizo.
 
mwnzangu watu wanataka kunitoa macho huku kwenye pm lol! mie mke wa mtu siuzi! am not available at all. kuna kufuli😀

hahaha sijui kwenye jina pale labda kunatakiwa tuweke Mrs carmel or Mrs Firslady ,,Mama Charity ,Commited bht..Wifetobe -Pearl
Labda !!!
 
ah ah ah u made my dei swty,maybe tufanye hivyo eti eeeeeeh,na wao waandike baba chausiku,mzee wa kupitia tu madem,jambazi,kaoa kaacha,asiye na huruma etc
hahaha sijui kwenye jina pale labda kunatakiwa tuweke Mrs carmel or Mrs Firslady ,,Mama Charity ,Commited bht..Wifetobe -Pearl
Labda !!!
 
Basi wajameni, acheni hizo.
Yalishaisha!sasa yeye kumbe anakijiba cha roho kakibeba KWAPU KWAPU mpaka huku.ndo maana kaingia na gia kubwa...!wataalamu tukawa tunamsoma mchezo tu.
 
hahaha sijui kwenye jina pale labda kunatakiwa tuweke Mrs carmel or Mrs Firslady ,,Mama Charity ,Commited bht..Wifetobe -Pearl
Labda !!!
ha haaaaaaaaaaaaa, una akili sana wewe lol! would that help?
 
ha haaaaaaaaaaaaa, una akili sana wewe lol! would that help?
hapo ndo mtakuwa mmeharibu!uzoefu unatuthibitishia kwamba hakuna wanawake wenye mvuto KAMA WAKE ZA WATU!.....
 
hahaha sijui kwenye jina pale labda kunatakiwa tuweke Mrs carmel or Mrs Firslady ,,Mama Charity ,Commited bht..Wifetobe -Pearl
Labda !!!
aahhhahahahah.yani FL1 umenichekesha kweli.pengine hiyo itasaidia.afu wengi huwa ukiwaambia nina mme,au watoto au engaged utaona na Pm zimekata.Ni tabu tupu.
 
hahaha sijui kwenye jina pale labda kunatakiwa tuweke Mrs carmel or Mrs Firslady ,,Mama Charity ,Commited bht..Wifetobe -Pearl
Labda !!!

sasa tabu ote ya nini kubadili ma-ID?????/// mnakimbia majukumu ya kuwa wanawake????????? huo mnaoita usmbufu ndio fursa za pekee kwenu kuirekebisha na hata kuitawala dunia kama mnataka. ndio mpango wa Mungu huo msichoke mapema hivi jamani, hamtaki tuwatongoze.............mmesahau maji hufuata mkondo?....................hata mkibadili, mtatongozwa tu. si mnatembea na kudhibiti"miundombinu stareheshi"??????.

haya anzeni kututongoza nyie kama mnaweza....................
 
Tena wewe big brother, nilishawahi hata kuku-consult kwa swala hili, unakumbuka? kwani wanaume mkoje?

Unakumbuka nilikushaurije?
Narudia tena mamaa la Carmel!
Ukiitoa hiyo avatar unaingia kwenye IGNORE LIST yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…