Average mtu anakuwa amepitia relationships ngapi kabla ya kuoa au kuolewa?

Average mtu anakuwa amepitia relationships ngapi kabla ya kuoa au kuolewa?

hakuna kipimo kwenye mapenzi hata moja inaweza ikawa ndyo kipimo chako au laaah

Mi naamini kunakuwa na changamoto hasa pale mnapoamua kuishi pamoja, unafikiri kuingia bila xperience ni jambo jema sana?
 
inaweza kukusaidia ukiingia na experience coz mapenz hayana mwenyewe bana
 
inaweza kukusaidia ukiingia na experience coz mapenz hayana mwenyewe bana

Ndio hapo sasa, experience ya kiwango gani ndio swali la msingi linalonitatiza
 
Back
Top Bottom