Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
average ya 40 n ngumu coz hata kuipata n ngumu ndio maana wameweka iyo 40
50 NA 40 IPI Kubwa?
una kichaa wewe coet hata 10% huipati wewe..unachukulia poa ee!!unataka kufananisha muccobsna udsm,ardhi,dit n ifm??ujue wana jf wote wanakuona punguani tu kwa post zako za ajabu ajabu na ubushi wako uliokua hauna msingi..jaribu kuwa mkubwa coz wewe mwanafunzi wa elimu ya juu sasa..
Unauliza rangi ya mkaa, unaona kabisa 50 ni kubwa afu unauliza au umemuuliza kumtega.
Of course zote zinaweza kuwa ngumu kutokana na ubora wa elimu unaotolewa na chuo/taasisi husika, ni haki UDSM,SUA,MZUMBE,SAUT n.k kuweka average ya 50 kutokana na kwamba hvyo ni vyuo vikuu na wanafunzi wanaochaguliwa kwenda hapo weng wao wanakuwa na ufaulu mzuri ukilinganisha na vyuo/taasisi nyingine.Pia average ya 40 inaweza kuwa ngumu kuipata kwa vyuo/taasisi ulizotaja hapo awali, huwezi linganisha elimu inayotolewa Udsm na Ifm ni haki udsm kuweka average kubwa kwa sababu pia ni chuo kikubwa na kinaheshimika.
mungu mkubwa mpiga msuli ameamua kustaarabika...duuh leo ananibia nipunguze hasira..!!..ni hv bas 40% na 50% ni mifumo tu ya chuo na hakuna sababu nyengine..hakuna course rahisi katika chuo chochote labda datastar na eagle wings..
Mungu mkubwa mpiga msuli ameamua kustaarabika...duuh leo ananibia nipunguze hasira..!!..ni hv bas 40% na 50% ni mifumo tu ya chuo na hakuna sababu nyengine..hakuna course rahisi katika chuo chochote labda datastar na eagle wings..
KWA HIYO VYUO VYENYE AVERAGE YA 50%,KAMA SUA,MUCCoBS,SAUT,MUHAS, HAVIHESHIMIKI? , AU TUSEME MITIHANI NI RAHISI?
50 NA 40 IPI Kubwa?
kubwa 50 lakin kupata n simple
Hivi ninyi vijana wa vyuo vikuu mbona mnaonesha wazi upumbavu wenu?unawezaje kulinganisha vitu visivyolinganishika?mf unawezaje kulinganisha kozi ya udaktari(medicine) na political science? Ama unawezaje kujiuliza eti nani ana mkali zaidi kati ya Messi na Obama?!Anzeni kujiuliza kwa nini wanachuo uganda wanatengeza gari halafu ninyi mnatengeneza propaganda za kipuuzi!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
40 ITAKUWAJE NGUMU? 50 Itakuwaje rahis lete hoja mkuu tujadili
ww umepangiwa teku ndio maana unaongea sana
Anyway,ni utoto tu,ukikua utaacha
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums