Average ya 40% v/s average ya50%

Average ya 40% v/s average ya50%

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
WANA JF HIVI SHULE NGUMU NI IPI NI ILE YENYE AVERAGE YA 50% KAMA SUA, MUCCoBS,MUHAS NA SAUT, AU NI ILE YENYE AVERAGE40%, KAMA Udsm,ardhi,na ifm , tujadili wana jf
 
average ya 40 n ngumu coz hata kuipata n ngumu ndio maana wameweka iyo 40
 
una kichaa wewe COET hata 10% huipati wewe..unachukulia poa ee!!unataka kufananisha muccobsna udsm,ardhi,dit n ifm??ujue wana jf wote wanakuona punguani tu kwa post zako za ajabu ajabu na ubushi wako uliokua hauna msingi..jaribu kuwa mkubwa coz wewe mwanafunzi wa elimu ya juu sasa..
 
50 NA 40 IPI Kubwa?

Unauliza rangi ya mkaa, unaona kabisa 50 ni kubwa afu unauliza au umemuuliza kumtega.

Of course zote zinaweza kuwa ngumu kutokana na ubora wa elimu unaotolewa na chuo/taasisi husika, ni haki UDSM,SUA,MZUMBE,SAUT n.k kuweka average ya 50 kutokana na kwamba hvyo ni vyuo vikuu na wanafunzi wanaochaguliwa kwenda hapo weng wao wanakuwa na ufaulu mzuri ukilinganisha na vyuo/taasisi nyingine.Pia average ya 40 inaweza kuwa ngumu kuipata kwa vyuo/taasisi ulizotaja hapo awali, huwezi linganisha elimu inayotolewa Udsm na Ifm ni haki udsm kuweka average kubwa kwa sababu pia ni chuo kikubwa na kinaheshimika.
 
una kichaa wewe coet hata 10% huipati wewe..unachukulia poa ee!!unataka kufananisha muccobsna udsm,ardhi,dit n ifm??ujue wana jf wote wanakuona punguani tu kwa post zako za ajabu ajabu na ubushi wako uliokua hauna msingi..jaribu kuwa mkubwa coz wewe mwanafunzi wa elimu ya juu sasa..

acha hasira mkuu jenga hoja
 
Unauliza rangi ya mkaa, unaona kabisa 50 ni kubwa afu unauliza au umemuuliza kumtega.

Of course zote zinaweza kuwa ngumu kutokana na ubora wa elimu unaotolewa na chuo/taasisi husika, ni haki UDSM,SUA,MZUMBE,SAUT n.k kuweka average ya 50 kutokana na kwamba hvyo ni vyuo vikuu na wanafunzi wanaochaguliwa kwenda hapo weng wao wanakuwa na ufaulu mzuri ukilinganisha na vyuo/taasisi nyingine.Pia average ya 40 inaweza kuwa ngumu kuipata kwa vyuo/taasisi ulizotaja hapo awali, huwezi linganisha elimu inayotolewa Udsm na Ifm ni haki udsm kuweka average kubwa kwa sababu pia ni chuo kikubwa na kinaheshimika.

KWA HIYO VYUO VYENYE AVERAGE YA 50%,KAMA SUA,MUCCoBS,SAUT,MUHAS, HAVIHESHIMIKI? , AU TUSEME MITIHANI NI RAHISI?
 
Mungu mkubwa mpiga msuli ameamua kustaarabika...duuh leo ananibia nipunguze hasira..!!..ni hv bas 40% na 50% ni mifumo tu ya chuo na hakuna sababu nyengine..hakuna course rahisi katika chuo chochote labda datastar na eagle wings..
 
mungu mkubwa mpiga msuli ameamua kustaarabika...duuh leo ananibia nipunguze hasira..!!..ni hv bas 40% na 50% ni mifumo tu ya chuo na hakuna sababu nyengine..hakuna course rahisi katika chuo chochote labda datastar na eagle wings..

hahahaha datastar ,
 
Mungu mkubwa mpiga msuli ameamua kustaarabika...duuh leo ananibia nipunguze hasira..!!..ni hv bas 40% na 50% ni mifumo tu ya chuo na hakuna sababu nyengine..hakuna course rahisi katika chuo chochote labda datastar na eagle wings..

Ha ha ha ha ha datastar na eagle wing umenimaliza kwa cheko mkuu
 
KWA HIYO VYUO VYENYE AVERAGE YA 50%,KAMA SUA,MUCCoBS,SAUT,MUHAS, HAVIHESHIMIKI? , AU TUSEME MITIHANI NI RAHISI?

Kila chuo KINAheshimika kutokana na ubora wa elimu inayotolewa na mitihan ingekuwa rahisi kusingekuwa na kudisko.
 
Last edited by a moderator:
Hivi ninyi vijana wa vyuo vikuu mbona mnaonesha wazi upumbavu wenu?unawezaje kulinganisha vitu visivyolinganishika?mf unawezaje kulinganisha kozi ya udaktari(medicine) na political science? Ama unawezaje kujiuliza eti nani ana mkali zaidi kati ya Messi na Obama?!Anzeni kujiuliza kwa nini wanachuo uganda wanatengeza gari halafu ninyi mnatengeneza propaganda za kipuuzi!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
ww umepangiwa teku ndio maana unaongea sana
 
40 ITAKUWAJE NGUMU? 50 Itakuwaje rahis lete hoja mkuu tujadili

mpiga msuli unabshana na oil sumu wakat mbwiga88 kashdwa mzk huu! Lakn w umepangiwa kampala unvstry(kiu) kwaiyo uwez kubshana na mwanaudsm hata cku1
 
Back
Top Bottom