deonlyme1
Member
- Dec 18, 2014
- 84
- 114
Huu mchezo unajulikana kama kindege ni live betting upo kutufilisi walah, ukiuangalia kwajujuu unaweza ona ni betting rahisi kupata mshiko ila ingia uwanjani ujionee.
Huwezi amini wiki hizi mbili nimepoteza almost 200k kwaajili ya hii betting kisa tu kusaka hela ya kula bata la Xmass na New year.
Huwezi amini wiki hizi mbili nimepoteza almost 200k kwaajili ya hii betting kisa tu kusaka hela ya kula bata la Xmass na New year.