BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kaja na ID nyingine ku coment kwamba ana PDF, kuna mtu anaenda kupigwa.mabango Ya Matangazo Mnayaweka Kijanja Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaja na ID nyingine ku coment kwamba ana PDF, kuna mtu anaenda kupigwa.mabango Ya Matangazo Mnayaweka Kijanja Sana
umekuja kwa ID nyingine kufanya biashara? Hahaaa kuna mtu anaenda pigwaIle ni arithmetic prog kama upo una akili nzuri probability ni kubwa kushinda
Sina muda wa kufundisha
Muda wangu ni mali
pdf hata mimi nilinunua kwa wanaijeria
Hata ukitumia formula kushinda sio 100% ni kama 95%
ID yangu ina miaka 5 sasa au 4 Sina nyingine btw nliachana nayo sikutaka lawamaumekuja kwa ID nyingine kufanya biashara? Hahaaa kuna mtu anaenda pigwa
Wenzetu hela za kuchezea mnazipata wapi usawa huu?Huu mchezo unajulikana kama kindege ni live betting upo kutufilisi walah, ukiuangalia kwajujuu unaweza ona ni betting rahisi kupata mshiko ila ingia uwanjani ujionee.
Huwezi amini wiki hizi mbili nimepoteza almost 200k kwaajili ya hii betting kisa tu kusaka hela ya kula bata la Xmass na New year.