Aviator ipo kutufilisi vijana

Aviator ipo kutufilisi vijana

Ile ni arithmetic prog kama upo una akili nzuri probability ni kubwa kushinda

Sina muda wa kufundisha
Muda wangu ni mali
pdf hata mimi nilinunua kwa wanaijeria

Hata ukitumia formula kushinda sio 100% ni kama 95%
umekuja kwa ID nyingine kufanya biashara? Hahaaa kuna mtu anaenda pigwa
 
Tuma pdf kaka mi aka mr pipa aka nabii wao baba nimestuka usitume
 
Huu mchezo unajulikana kama kindege ni live betting upo kutufilisi walah, ukiuangalia kwajujuu unaweza ona ni betting rahisi kupata mshiko ila ingia uwanjani ujionee.

Huwezi amini wiki hizi mbili nimepoteza almost 200k kwaajili ya hii betting kisa tu kusaka hela ya kula bata la Xmass na New year.
Wenzetu hela za kuchezea mnazipata wapi usawa huu?
 
Back
Top Bottom