Aviator ipo kutufilisi vijana

Aviator ipo kutufilisi vijana

deonlyme1

Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
84
Reaction score
114
Huu mchezo unajulikana kama kindege ni live betting upo kutufilisi walah, ukiuangalia kwajujuu unaweza ona ni betting rahisi kupata mshiko ila ingia uwanjani ujionee.

Huwezi amini wiki hizi mbili nimepoteza almost 200k kwaajili ya hii betting kisa tu kusaka hela ya kula bata la Xmass na New year.
 
Huu mchezo unajulikana kama kindege ni live betting upo kutufilisi walah, ukiuangalia kwajujuu unaweza ona ni betting rahis kupata mshiko ila ingia uwanjan ujionee.
Huwez amini wiki hizi mbili nimepoteza almost 200k kwaajili ya hii betting kisa tu kusaka hela ya kula bata la Xmass na New year
Kama umeamua kubet Fuata tu mechi hayo mambo ya makasino achana nayo
 
Ni swala la bahat na timing njia rahisi ni kuweka sehemu 3 au 2 moja ya kurudisha mtaji nyingine ni kupata faida
 
Ile ni arithmetic prog kama upo una akili nzuri probability ni kubwa kushinda

Sina muda wa kufundisha
Muda wangu ni mali
pdf hata mimi nilinunua kwa wanaijeria

Hata ukitumia formula kushinda sio 100% ni kama 95%
Shusha nondo mkuu[emoji23][emoji23]
 
Kubet ni laana kubwa kaa nayo mbali. Kupoteza mali na muda wako.
 
Ile ni arithmetic prog kama upo una akili nzuri probability ni kubwa kushinda

Sina muda wa kufundisha
Muda wangu ni mali
pdf hata mimi nilinunua kwa wanaijeria

Hata ukitumia formula kushinda sio 100% ni kama 95%
Haya mkuu Swma dau tununue
 
mabango Ya Matangazo Mnayaweka Kijanja Sana
Kinda ila sio ndio nategemea hio siku nkipata wasaa ntaandika kuhusu hio aviator
100k stake na kuendelea ndo utaona faida
Odds ni 1.5 had 2.0 risk takers wanaenda had 3
 
Hii nchi vijana wa ovyo wanaongezeka kila siku. Niliposoma kichwa cha uzi nkajua kijana unapambana uwe Rubani kumbe ni Afsa Ubashiri[emoji12][emoji2957][emoji12][emoji12][emoji2957][emoji2957][emoji12][emoji12][emoji12][emoji2957][emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji24]
 
Ile ni arithmetic prog kama upo una akili nzuri probability ni kubwa kushinda

Sina muda wa kufundisha
Muda wangu ni mali
pdf hata mimi nilinunua kwa wanaijeria

Hata ukitumia formula kushinda sio 100% ni kama 95%
Mkuu nipasie hiyo pdf ntaka nirudishe hata nusu hasara
 
Huu mchezo unajulikana kama kindege ni live betting upo kutufilisi walah, ukiuangalia kwajujuu unaweza ona ni betting rahisi kupata mshiko ila ingia uwanjani ujionee.

Huwezi amini wiki hizi mbili nimepoteza almost 200k kwaajili ya hii betting kisa tu kusaka hela ya kula bata la Xmass na New year.
Mkuu usijali, hata Simba kwenye hifadhi hupata maisha mazuri pale nyumbu wanapokuwa wengi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ile ni arithmetic prog kama upo una akili nzuri probability ni kubwa kushinda

Sina muda wa kufundisha
Muda wangu ni mali
pdf hata mimi nilinunua kwa wanaijeria

Hata ukitumia formula kushinda sio 100% ni kama 95%
Tusaidie hiyo pdf au formula mkuu
 
Duh nmeshtuka sana nikadhani mamlaka ya huduma za ndege zina lengo la kuua vijana 😂
 
Back
Top Bottom