Aviator itanitoa roho, Tafadhali serikali ingilieni kati vijana twafa

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
1,254
Reaction score
2,014
Hello guys,

Moja kwa moja, kwenye mada naiomba serikali itusaidie sisi vijana kwa kuifungia mchezo wa Aviator.

Vijana wa chuo wanashindwa kulipa ada kwa sababu ya aviator, hata kununua nguo kwa vijana imekuwa changamoto. Tafadhali serikali sisi hatuwezi bila msaada wenu. Mkitusaidia katika jambo hilo tutapata nuru tena.
 
Wuayu na bado kuna kijamaa kinaitwa plinko hicho ukijaribu lazima ujinyonge kabisa.
 
We nawe nchi ipo kwenye tension ya mbivu au mbichi wewe unatuletea uraibu wako wa kingesengese! Serikali ndio ilikutuma ukabet kwa aviator? Zile shaba za mo29 ingefaa zianze na wewe Tena ukiwa huko kwenye Banda la kubet.
 
Hii Serikali inachoweza kukusaidia ni kukutoa roho🐼
 
haiwezekani, aviator ni ofisi kama ofisi zingine
😁😁😁

unastake laki mbili halafu 1.00x✈️✈️✈️✈️
 
Vichwa vina kamasi
 
Kazi ni kipimo cha Utu
 
We nawe nchi ipo kwenye tension ya mbivu au mbichi wewe unatuletea uraibu wako wa kingesengese! Serikali ndio ilikutuma ukabet kwa aviator? Zile shaba za mo29 ingefaa zianze na wewe Tena ukiwa huko kwenye Banda la kubet.
Umelazimishwa
 
Ndo maana vijana wengi kama nyie mnaliwa miqundu
 
Acha wakupune Kwan umeshikiwa panga kucheza?
Vijana kama ninyi mna mchango mdogo kwenye ustawi wa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…