Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,765
- 6,726
Mkuu naomba unitag habari ya huyo muitalianoupuzi wa kamali inaweza kukufanya uwe tajili na uwe fukala maisha yako yote kama kuna jamaa yupo italy alibetia nothergam forrest kumaliza top four msimu huu kama jamaa wakimaliza top four anakula paund milioni 50
upuzi wa kamali inaweza kukufanya uwe tajili na uwe fukala maisha yako yote kama kuna jamaa yupo italy alibetia nothergam forrest kumaliza top four msimu huu kama jamaa wakimaliza top four anakula paund milioni 50
Kumbe ni kama heroine... Hadi nimemwonea huruma
Ni bora ingelikuwa unauecheza ndiyo unaki-control hicho ki denge lakini sasa hivi una bonyeza batani unasubiri miujiza ya eti kipaeNielewesheni,
Hiyo aviator Ni kubeti Kama tunavobeti mipira au yenyewe iko tofauti?
Ingia tu sportybet utaielewa vizurNielewesheni,
Hiyo aviator Ni kubeti Kama tunavobeti mipira au yenyewe iko tofauti?
Tulishazika na tukasafirishaLBL na nyinyi bado mpo? 😁
Endelea kukumbuka maneno ya bibi,usijaribu upuuz wowote unaoitwa kamarir.i.p bibi yangu kipenzi, uliniasa na kunionya kuwa; nisicheze KAMARI ya aina yoyote ile ktk maisha yangu. ni kitu kibaya sana na hatari mno.
Mbona strory nusu shemeji...sa iakawajeee mahn?Gambling is a hell of a drug!
apa duniani kuna watu wanajua kucheza kamali bwana hasa wa italy achanao kabisaHao lazima watamaliza top 4
Nusu kivipi? Mbona kila kitu kiko hapo? Huyo jamaa aliishia kujiua. Extreme addiction. Anakopa pesa, anauza vitu ili tu akarushe kindege. Mwisho maji yakamfika shingoni akaona isiwe kesi....Mbona strory nusu shemeji...sa iakawajeee mahn?