PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Ohooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Komwe kama la Baba J kachorwa na Kipanya, hivi huyo akiwa mzuri Malaika wa nawararua rarua tutamwitaje?
Sasa huyo malaika ni mzuri lakini sio kwa kumlinganisha na Avril,acha kumdhalilisha Avril
Huyo malaika labda umlinganishe na Stella mwangi.,hahaaha!Weeee huyo Avril ulinganishe labda na kina Mwasiti
Hivi mimi mars ni ndugu yake Vanessa mdee?Wa kawaida tu makeup zinambeba kuna msanii alikua anaitwa mariam naye ni wa kenya alikua mzur sana pia habida sasahiv mimi mars anaanza kuimba ndo atakua kali yao ni mzur sana
Yah ni mdogo wakeHivi mimi mars ni ndugu yake Vanessa mdee?
Kaka tuheshimiane hahahahaaaSawa kaka stereo
[emoji1]
HahahahaKaka tuheshimiane hahahahaaa
Ohoooo!!!Weeee huyo Avril ulinganishe labda na kina Mwasiti
Ohooooo!!!Huyo malaika labda umlinganishe na Stella mwangi.,hahaaha!
Tafta neno jingne iyo ohoooo tumeizoea bhana be creative oneOhooooo!!!
Ohoooo!!!Tafta neno jingne iyo ohoooo tumeizoea bhana be creative one
sure hawezi mzidi juliana kanyomozame Juliana yule mganda na nandi
Huyu hapa au? mkuu acha utani basisure hawezi mzidi juliana kanyomoza
Hizo totoz zinaimba?mbona wa kawaida tu.. tembea uone totoz kali zipo rwandaa
Kametulia kinoma yaniDah namuelewa sana huyo bidada
ndio nyimbo za gospelHizo totoz zinaimba?
Hiki kipara cha kikenya...kinajulikana dunia nzimaHuyu dada akirudisha nywele nyuma ukaona kikomwe utahisi sio yeye...... Hiyo hair style kumbe huwa anaficha kitu, ni mzuri kiasi chake make up na editing zinasaidia wanawake wengi
View attachment 472610