Avril; Mwanamuziki wa kike mwenye mvuto Afrika Mashariki

Avril; Mwanamuziki wa kike mwenye mvuto Afrika Mashariki

Wa kawaida tu makeup zinambeba kuna msanii alikua anaitwa mariam naye ni wa kenya alikua mzur sana pia habida sasahiv mimi mars anaanza kuimba ndo atakua kali yao ni mzur sana
 
Wa kawaida tu makeup zinambeba kuna msanii alikua anaitwa mariam naye ni wa kenya alikua mzur sana pia habida sasahiv mimi mars anaanza kuimba ndo atakua kali yao ni mzur sana
Hivi mimi mars ni ndugu yake Vanessa mdee?
 
mbona wa kawaida tu.. tembea uone totoz kali zipo rwandaa
 
sure hawezi mzidi juliana kanyomoza
Huyu hapa au? mkuu acha utani basi
images-11.jpg
 
Huyu dada akirudisha nywele nyuma ukaona kikomwe utahisi sio yeye...... Hiyo hair style kumbe huwa anaficha kitu, ni mzuri kiasi chake make up na editing zinasaidia wanawake wengi
View attachment 472610
Hiki kipara cha kikenya...kinajulikana dunia nzima

Sijui hawa wadada wa kikenya walimkosea nini Mungu, asilimia 98 wana makomwe upara.
 
Back
Top Bottom