Avril; Mwanamuziki wa kike mwenye mvuto Afrika Mashariki

Avril; Mwanamuziki wa kike mwenye mvuto Afrika Mashariki

ulishamuona akiwa katoka kuamka,

au unasifia tu kwa kuwa umeona picha sake za editing na akiwa kajipiga make up
 
Kwanza mimi ni mbatu, nimegundua huyu hana wezere size niipendayo so yuko kawaida sana
 
Wakuu,

Kama inavyojieleza hapo juu, nimefanya uchunguzi na kupekua kweli kila mwanamuziki wa kike ukanda wa Afrika mashariki na kubaini uwepo wa mwanadada kutoka Kenya mwenye mvuto wa aina yake kiasi cha kuwafunika waimbaji wenzake wote wa nchi za Afrika Mashariki.

Mwanadada huyo aliyejaliwa kila anachopaswa kuwa nacho mtoto wa kike sio mwingine bali ni Judith nyambura A.K.A Avril, huyu mwanadada hana mpinzani kabisa kwa ukanda aliopo.

NOTE: Haya sio maono yangu, huu ndio ukweli mnaotakiwa muukubadi wote iwe kwa lazima au kwa kuamua na kama utanipinga basi uje na huyo unayeamini anamfikia Avril hata kwa kulazimisha!


Nitaweka na picha pia.

View attachment 472587 View attachment 472588 View attachment 472589 View attachment 472589

View attachment 472591 View attachment 472590
Muongo
 
Avril mzuri asee..kuanzia sauti umbo na proportionality ya mwili
 
Back
Top Bottom