Awamu Hii Kuna Mambo Mengi Ya Kijinga. Kila Kitu Kinatajwa Kwa Jina la Mtu

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Mara nyingi kadiri siku zinavyosonga mbele inatarajiwa werevu uongezeke lakini kwa Tanzania ni kinyume chake.

Badala ya nchi kuzalisha wataalam inazalisha machawa wajinga. Hawa kila siku wanawaza na kubuni ujinga na uovu.

1. Fikiria, wakati nchi nyingi zinazidi kuimarisha mifumo yao ya haki, uhuru na demokrasia, kwa Tanzania machawa wajinga, wakati wote wanafikiria na kubuni mifumo na kanuni za kuminya na kudhulumu haki za watu, uhuru wao, na kuharibu kabisa mifumo ya demokrasia.

2. Fikiria, tangu awamu ya mwalimu Nyerere, na awamu zote zilizofuatia, watanzania wamekuwa wakipelekwa kusoma nje ya nchi. Tena wakati wa awamu ya kwanza, watanzania wengi walipata nafasi ya kwenda kusoma Ulaya, Urusi, Marekani, Canada na Australia.

Wakati wote huo, haikuwahi kusikika eti watanzania hao walioenda kusoma nje, walienda kupitia Nyerere scholarship, au Mwinyi scholarship, au Mkapa scholarship. Lakini angalieni ujinga wa sasa, watu wanaenda kusoma nje, wanasomeshwa kwa hela ya Serikali, lakini wananchi wanatangaziwa eti Samia scholarship imewapeleka kusoma nje!! Na hapo machawa wajinga wanaona wamempaisha sana Samia!!

Siku hizi kila kitu kikifanywa na Serikali kupitia kodi zetu, kinatajwa eti kimefanywa na Samia! Huu ni upuuzi, dharau kubwa, na hadaa ya ajabu kwa Watanzania. Na yeye ambaye jina lake linatumiwa, amekaa kimya, akifurahia.
 
Gombea na wewe uwe rais utajwe

USSR
 
NRNE ni humu tu
 
vp tutaje jina lako
 
Na tunamshukuru Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha mtandao uwepo Tanzania ili wewe Mtanzania usiyejielewa umseme vibaya Mama Samia kwasababu yeye ni mama na mvumilivu kwa wanae na wajukuu!!
 
Nonsense,, hata yeye akiona ulichoandika hawezi kukuunga mkono
 
Mara nyingi kadiri siku zinavyosonga mbele inatarajiwa werevu uongezeke lakini kwa Tanzania ni kinyume chake.

Badala ya nchi kuzalisha wataalam inazalisha machawa wajinga. Hawa kila siku wanawaza na kubuni ujinga na uovu.

1. Fikiria, wakati nchi nyingi zinazidi kuimarisha mifumo yao ya haki, uhuru na demokrasia, kwa Tanzania machawa wajinga, wakati wote wanafikiria na kubuni mifumo na kanuni za kuminya na kudhulumu haki za watu, uhuru wao, na kuharibu kabisa mifumo ya demokrasia.

2. Fikiria, tangu awamu ya mwalimu Nyerere, na awamu zote zilizofuatia, watanzania wamekuwa wakipelekwa kusoma nje ya nchi. Tena wakati wa awamu ya kwanza, watanzania wengi walipata nafasi ya kwenda kusoma Ulaya, Urusi, Marekani, Canada na Australia.

Wakati wote huo, haikuwahi kusikika eti watanzania hao walioenda kusoma nje, walienda kupitia Nyerere scholarship, au Mwinyi scholarship, au Mkapa scholarship. Lakini angalieni ujinga wa sasa, watu wanaenda kusoma nje, wanasomeshwa kwa hela ya Serikali, lakini wananchi wanatangaziwa eti Samia scholarship imewapeleka kusoma nje!! Na hapo machawa wajinga wanaona wamempaisha sana Samia!!

Siku hizi kila kitu kikifanywa na Serikali kupitia kodi zetu, kinatajwa eti kimefanywa na Samia! Huu ni upuuzi, dharau kubwa, na hadaa ya ajabu kwa Watanzania. Na yeye ambaye jina lake linatumiwa, amekaa kimya, akifurahia.
Gentleman,
Kwa Tanzania,
Dr.Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri sana kupitia falsafa ya 4Rs na amepiga hatua kubwa zaidi kuliko nchi yoyote barani Africa kwenye maeneo hayo machache kati ya mengi uloyataja .

Inafaa apewe maua yake bila chuki wala makasiriko 🐒
 
Mloganzila wanaweka makalio bandia maarufu kama makalio ya mama
 
Uchwa ulianza enzi ya mwenda zake na aliachiwa kijiti akshindwa kuuzika ,balii ameamua kuupa uhai wakudumuu na imegeuka ajira Kwa watu mpk wananufaika nao nakujengaa magorofaa alooo😀😀😀😀
 
Gentleman,
Kwa Tanzania,
Dr.Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri sana kupitia falsafa ya 4Rs na amepiga hatua kubwa zaidi kuliko nchi yoyote barani Africa kwenye maeneo hayo machache kati ya mengi uloyataja .

Inafaa apewe maua yake bila chuki wala makasiriko 🐒
Tunamshukuru mh SSH kwa kuwa chawa mbobevu
 
Na deni ni lake asitokepo APO MPAKA alilipe tutawaambia benki ya dunia wakabebe sofa kuleeeeeeeeee

Kwishaaaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Gombea na wewe uwe rais utajwe

USSR

Hata ningekuwa Rais siwezi kukubali kukubali ujinga huo. Kiongozi hustahili kuwa mwongo, hustahili kuwa tapeli.
 
Back
Top Bottom