Awamu Hii Kuna Mambo Mengi Ya Kijinga. Kila Kitu Kinatajwa Kwa Jina la Mtu

Na deni ni lake asitokepo APO MPAKA alilipe tutawaambia benki ya dunia wakabebe sofa kuleeeeeeeeee

Kwishaaaaaa

Bro Alex on da beats yoow

Cha ajabu, sijawahi kuwasikia wale machawa wajinga wakisema, deni la Sa100 ni trillion 107', badala yake wanasema eti ni deni la Taifa.
 
Suluhisho la YOTE upinzani uchukue nchi tutawaelewesha mafisadi TU na wataelewa HAMNA fala hapa kwa SASA tusha janjaruka

Kwishaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
vp tutaje jina lako

Jina langu, lako au la Samia, linahusikaje na scholarships ambazo zinatolewa na nchi yetu kwa vijana wetu?

Kwani wakati wa tawala zilizotangulia, scholarships zinazolipiwa na Serikali zilikuwa zinatolewa kwa jina la mtu?

Kwani Serikali ikitangaza kuwa i.ewalipia vijana kadhaa kwenda kysoma nje ya nchi, Rais hawezi kupata sifa na heshima kwa Serikali inayoiongoza kufanimisha hilo?

Kwa ujinga unaoendelea, kuna siku tutaambiwa Mama ametuletea mvua, mama ametupatia hewa ya kuvuta (sawa na huko Uganda enzi za kabaka, ambapo wasaidizi wake walikuwa wanawaambia waganda kuwa hata hewa wanayovuta wamepewa na Kabaka)

Na kwa sababu wana uwezo wa kutrka na kuua bila ya kuhojiwa na yeyote, kuna siku tutaambiwa tumshukuru kwa kuturuhusu tuishi au tuwe hai. Maana asipotaka unatekwa na kuuawa au kubambikiwa kesi.
 
unapenda siasa maji taka, ndo ishaitwa samia na lengo kusomesha wanafunzi waliofaulu kana unaumia somalia sio mbali
 
Mara nyingi kadiri siku zinavyosonga mbele inatarajiwa werevu uongezeke lakini kwa Tanzania ni kinyume chake.

Badala ya nchi kuzalisha wataalam inazalisha machawa wajinga. Hawa kila siku wanawaza na kubuni ujinga na uovu.

1. Fikiria, wakati nchi nyingi zinazidi kuimarisha mifumo yao ya haki, uhuru na demokrasia, kwa Tanzania machawa wajinga, wakati wote wanafikiria na kubuni mifumo na kanuni za kuminya na kudhulumu haki za watu, uhuru wao, na kuharibu kabisa mifumo ya demokrasia.

2. Fikiria, tangu awamu ya mwalimu Nyerere, na awamu zote zilizofuatia, watanzania wamekuwa wakipelekwa kusoma nje ya nchi. Tena wakati wa awamu ya kwanza, watanzania wengi walipata nafasi ya kwenda kusoma Ulaya, Urusi, Marekani, Canada na Australia.

Wakati wote huo, haikuwahi kusikika eti watanzania hao walioenda kusoma nje, walienda kupitia Nyerere scholarship, au Mwinyi scholarship, au Mkapa scholarship. Lakini angalieni ujinga wa sasa, watu wanaenda kusoma nje, wanasomeshwa kwa hela ya Serikali, lakini wananchi wanatangaziwa eti Samia scholarship imewapeleka kusoma nje!! Na hapo machawa wajinga wanaona wamempaisha sana Samia!!

Siku hizi kila kitu kikifanywa na Serikali kupitia kodi zetu, kinatajwa eti kimefanywa na Samia! Huu ni upuuzi, dharau kubwa, na hadaa ya ajabu kwa Watanzania. Na yeye ambaye jina lake linatumiwa, amekaa kimya, akifurahia.
Yaani sa hivi hata ukipata mchepuko unauita mchepuka wa mama.
 
Ni awamu ya kijinga sana.
 
Back
Top Bottom