Gombea na wewe uwe rais utajweMara nyingi kadiri siku zinavyosonga mbele inatarajiwa werevu uongezeke lakini kwa Tanzania ni kinyume chake.
Badala ya nchi kuzalisha wataalam inazalisha machawa wajinga. Hawa kila siku wanawaza na kubuni ujinga na uovu.
1. Fikiria, wakati nchi nyingi zinazidi kuimarisha mifumo yao ya haki, uhuru na demokrasia, kwa Tanzania machawa wajinga, wakati wote wanafikiria na kubuni mifumo na kanuni za kuminya na kudhulumu haki za watu, uhuru wao, na kuharibu kabisa mifumo ya demokrasia.
2. Fikiria, tangu awamu ya mwalimu Nyerere, na awamu zote zilizofuatia, watanzania wamekuwa wakipelekwa kusoma nje ya nchi. Tena wakati wa awamu ya kwanza, watanzania wengi walipata nafasi ya kwenda kusoma Ulaya, Urusi, Marekani, Canada na Australia.
Wakati wote huo, haikuwahi kusikika eti watanzania hao walioenda kusoma nje, walienda kupitia Nyerere scholarship, au Mwinyi scholarship, au Mkapa scholarship. Lakini angalieni ujinga wa sasa, watu wanaenda kusoma nje, wanasomeshwa kwa hela ya Serikali, lakini wananchi wanatangaziwa eti Samia scholarship imewapeleka kusoma nje!! Na hapo machawa wajinga wanaona wamempaisha sana Samia!!
Siku hizi kila kitu kikifanywa na Serikali kupitia kodi zetu, kinatajwa eti kimefanywa na Samia! Huu ni upuuzi, dharau kubwa, na hadaa ya ajabu kwa Watanzania. Na yeye ambaye jina lake linatumiwa, amekaa kimya, akifurahia.
NRNE ni humu tuMara nyingi kadiri siku zinavyosonga mbele inatarajiwa werevu uongezeke lakini kwa Tanzania ni kinyume chake.
Badala ya nchi kuzalisha wataalam inazalisha machawa wajinga. Hawa kila siku wanawaza na kubuni ujinga na uovu.
1. Fikiria, wakati nchi nyingi zinazidi kuimarisha mifumo yao ya haki, uhuru na demokrasia, kwa Tanzania machawa wajinga, wakati wote wanafikiria na kubuni mifumo na kanuni za kuminya na kudhulumu haki za watu, uhuru wao, na kuharibu kabisa mifumo ya demokrasia.
2. Fikiria, tangu awamu ya mwalimu Nyerere, na awamu zote zilizofuatia, watanzania wamekuwa wakipelekwa kusoma nje ya nchi. Tena wakati wa awamu ya kwanza, watanzania wengi walipata nafasi ya kwenda kusoma Ulaya, Urusi, Marekani, Canada na Australia.
Wakati wote huo, haikuwahi kusikika eti watanzania hao walioenda kusoma nje, walienda kupitia Nyerere scholarship, au Mwinyi scholarship, au Mkapa scholarship. Lakini angalieni ujinga wa sasa, watu wanaenda kusoma nje, wanasomeshwa kwa hela ya Serikali, lakini wananchi wanatangaziwa eti Samia scholarship imewapeleka kusoma nje!! Na hapo machawa wajinga wanaona wamempaisha sana Samia!!
Siku hizi kila kitu kikifanywa na Serikali kupitia kodi zetu, kinatajwa eti kimefanywa na Samia! Huu ni upuuzi, dharau kubwa, na hadaa ya ajabu kwa Watanzania. Na yeye ambaye jina lake linatumiwa, amekaa kimya, akifurahia.
vp tutaje jina lakoMara nyingi kadiri siku zinavyosonga mbele inatarajiwa werevu uongezeke lakini kwa Tanzania ni kinyume chake.
Badala ya nchi kuzalisha wataalam inazalisha machawa wajinga. Hawa kila siku wanawaza na kubuni ujinga na uovu.
1. Fikiria, wakati nchi nyingi zinazidi kuimarisha mifumo yao ya haki, uhuru na demokrasia, kwa Tanzania machawa wajinga, wakati wote wanafikiria na kubuni mifumo na kanuni za kuminya na kudhulumu haki za watu, uhuru wao, na kuharibu kabisa mifumo ya demokrasia.
2. Fikiria, tangu awamu ya mwalimu Nyerere, na awamu zote zilizofuatia, watanzania wamekuwa wakipelekwa kusoma nje ya nchi. Tena wakati wa awamu ya kwanza, watanzania wengi walipata nafasi ya kwenda kusoma Ulaya, Urusi, Marekani, Canada na Australia.
Wakati wote huo, haikuwahi kusikika eti watanzania hao walioenda kusoma nje, walienda kupitia Nyerere scholarship, au Mwinyi scholarship, au Mkapa scholarship. Lakini angalieni ujinga wa sasa, watu wanaenda kusoma nje, wanasomeshwa kwa hela ya Serikali, lakini wananchi wanatangaziwa eti Samia scholarship imewapeleka kusoma nje!! Na hapo machawa wajinga wanaona wamempaisha sana Samia!!
Siku hizi kila kitu kikifanywa na Serikali kupitia kodi zetu, kinatajwa eti kimefanywa na Samia! Huu ni upuuzi, dharau kubwa, na hadaa ya ajabu kwa Watanzania. Na yeye ambaye jina lake linatumiwa, amekaa kimya, akifurahia.
nenda kale njaa inakusumbuaFvck ccm
Na tunamshukuru Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha mtandao uwepo Tanzania ili wewe Mtanzania usiyejielewa umseme vibaya Mama Samia kwasababu yeye ni mama na mvumilivu kwa wanae na wajukuu!!Mara nyingi kadiri siku zinavyosonga mbele inatarajiwa werevu uongezeke lakini kwa Tanzania ni kinyume chake.
Badala ya nchi kuzalisha wataalam inazalisha machawa wajinga. Hawa kila siku wanawaza na kubuni ujinga na uovu.
1. Fikiria, wakati nchi nyingi zinazidi kuimarisha mifumo yao ya haki, uhuru na demokrasia, kwa Tanzania machawa wajinga, wakati wote wanafikiria na kubuni mifumo na kanuni za kuminya na kudhulumu haki za watu, uhuru wao, na kuharibu kabisa mifumo ya demokrasia.
2. Fikiria, tangu awamu ya mwalimu Nyerere, na awamu zote zilizofuatia, watanzania wamekuwa wakipelekwa kusoma nje ya nchi. Tena wakati wa awamu ya kwanza, watanzania wengi walipata nafasi ya kwenda kusoma Ulaya, Urusi, Marekani, Canada na Australia.
Wakati wote huo, haikuwahi kusikika eti watanzania hao walioenda kusoma nje, walienda kupitia Nyerere scholarship, au Mwinyi scholarship, au Mkapa scholarship. Lakini angalieni ujinga wa sasa, watu wanaenda kusoma nje, wanasomeshwa kwa hela ya Serikali, lakini wananchi wanatangaziwa eti Samia scholarship imewapeleka kusoma nje!! Na hapo machawa wajinga wanaona wamempaisha sana Samia!!
Siku hizi kila kitu kikifanywa na Serikali kupitia kodi zetu, kinatajwa eti kimefanywa na Samia! Huu ni upuuzi, dharau kubwa, na hadaa ya ajabu kwa Watanzania. Na yeye ambaye jina lake linatumiwa, amekaa kimya, akifurahia.
machawe kupata pesa mpaka ujifedheheshe hamna kitunenda kale njaa inakusumbua
Umejibu kitoto sana shida nyie mnaona anayetoa mawazo mbadala ni adui au nyie ndio mna haki na hili TaifaGombea na wewe uwe rais utajwe
USSR
Nonsense,, hata yeye akiona ulichoandika hawezi kukuunga mkonoNa tunamshukuru Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha mtandao uwepo Tanzania ili wewe Mtanzania usiyejielewa umseme vibaya Mama Samia kwasababu yeye ni mama na mvumilivu kwa wanae na wajukuu!!
Gentleman,Mara nyingi kadiri siku zinavyosonga mbele inatarajiwa werevu uongezeke lakini kwa Tanzania ni kinyume chake.
Badala ya nchi kuzalisha wataalam inazalisha machawa wajinga. Hawa kila siku wanawaza na kubuni ujinga na uovu.
1. Fikiria, wakati nchi nyingi zinazidi kuimarisha mifumo yao ya haki, uhuru na demokrasia, kwa Tanzania machawa wajinga, wakati wote wanafikiria na kubuni mifumo na kanuni za kuminya na kudhulumu haki za watu, uhuru wao, na kuharibu kabisa mifumo ya demokrasia.
2. Fikiria, tangu awamu ya mwalimu Nyerere, na awamu zote zilizofuatia, watanzania wamekuwa wakipelekwa kusoma nje ya nchi. Tena wakati wa awamu ya kwanza, watanzania wengi walipata nafasi ya kwenda kusoma Ulaya, Urusi, Marekani, Canada na Australia.
Wakati wote huo, haikuwahi kusikika eti watanzania hao walioenda kusoma nje, walienda kupitia Nyerere scholarship, au Mwinyi scholarship, au Mkapa scholarship. Lakini angalieni ujinga wa sasa, watu wanaenda kusoma nje, wanasomeshwa kwa hela ya Serikali, lakini wananchi wanatangaziwa eti Samia scholarship imewapeleka kusoma nje!! Na hapo machawa wajinga wanaona wamempaisha sana Samia!!
Siku hizi kila kitu kikifanywa na Serikali kupitia kodi zetu, kinatajwa eti kimefanywa na Samia! Huu ni upuuzi, dharau kubwa, na hadaa ya ajabu kwa Watanzania. Na yeye ambaye jina lake linatumiwa, amekaa kimya, akifurahia.
Na bila shaka ataunga mkono ulichoandika wewe sio? Nimekusoma!!Nonsense,, hata yeye akiona ulichoandika hawezi kukuunga mkono
Tunamshukuru mh SSH kwa kuwa chawa mbobevuGentleman,
Kwa Tanzania,
Dr.Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri sana kupitia falsafa ya 4Rs na amepiga hatua kubwa zaidi kuliko nchi yoyote barani Africa kwenye maeneo hayo machache kati ya mengi uloyataja .
Inafaa apewe maua yake bila chuki wala makasiriko π
Gombea na wewe uwe rais utajwe
USSR