Awamu Hii Kuna Mambo Mengi Ya Kijinga. Kila Kitu Kinatajwa Kwa Jina la Mtu

Na deni ni lake asitokepo APO MPAKA alilipe tutawaambia benki ya dunia wakabebe sofa kuleeeeeeeeee


Kwishaaaaaa



Bro Alex on da beats yoow


Cha ajabu, sijawahi kuwasikia wale machawa wajinga wakisema, deni la Sa100 ni trillion 107', badala yake wanasema eti ni deni la Taifa.
 
Cha ajabu, sijawahi kuwasikia wale machawa wajinga wakisema, deni la Sa100 ni trillion 107', badala yake wanasema eti ni deni la Taifa.
Suluhisho la YOTE upinzani uchukue nchi tutawaelewesha mafisadi TU na wataelewa HAMNA fala hapa kwa SASA tusha janjaruka



Kwishaaaa


Bro Alex on da beats yoow
 
vp tutaje jina lako

Jina langu, lako au la Samia, linahusikaje na scholarships ambazo zinatolewa na nchi yetu kwa vijana wetu?

Kwani wakati wa tawala zilizotangulia, scholarships zinazolipiwa na Serikali zilikuwa zinatolewa kwa jina la mtu?

Kwani Serikali ikitangaza kuwa i.ewalipia vijana kadhaa kwenda kysoma nje ya nchi, Rais hawezi kupata sifa na heshima kwa Serikali inayoiongoza kufanimisha hilo?

Kwa ujinga unaoendelea, kuna siku tutaambiwa Mama ametuletea mvua, mama ametupatia hewa ya kuvuta (sawa na huko Uganda enzi za kabaka, ambapo wasaidizi wake walikuwa wanawaambia waganda kuwa hata hewa wanayovuta wamepewa na Kabaka)

Na kwa sababu wana uwezo wa kutrka na kuua bila ya kuhojiwa na yeyote, kuna siku tutaambiwa tumshukuru kwa kuturuhusu tuishi au tuwe hai. Maana asipotaka unatekwa na kuuawa au kubambikiwa kesi.
 
unapenda siasa maji taka, ndo ishaitwa samia na lengo kusomesha wanafunzi waliofaulu kana unaumia somalia sio mbali
 
Yaani sa hivi hata ukipata mchepuko unauita mchepuka wa mama.
 
Ni awamu ya kijinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…