johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
We unamzungumzia Zungu gani; huyu aliyeingia shuleni na kuelekeza watoto jinsi ya kuwapigia kura wagombea wa CCM wa uchaguzi mkuu? Hafungamani na siasa za kishamba?Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa.
Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu.
Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais Samia.
Kazi Iendelee!
Naona leo umeamka na akili zakoKwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa.
Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu.
Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais Samia.
Kazi Iendelee!
Mbowe hawezi kuwa na ligi na kichaa wa mirembe.Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa.
Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu.
Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais Samia.
Kazi Iendelee!
Kuna wakati kichwa hukukaa sawa na kurudi kwenye mounting bracket zakeKwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa.
Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu.
Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais Samia.
Kazi Iendelee!
Job Ndugai anaweza "MIPASHO, UMBEA, VIJEMBE NA VICHAMBO" kama Juma Lokole, hafai hata kuwa Balozi wa Nyumba 10 achilia mbali uspeaker.
Yule mzee historia ya ukichaa inambeba, tena inambeba vizuri kweli, ukijumlisha na kinga ya kutokushtakiwa aliopewa ndio imekua tafrani zaidi, sawa na kichaa kukabidhiwa rungu kariakoo. Ukichaa wake umefufuka kwa kiwango cha SGR na umekua kama uchumi wa tanzania unavyokua kwa kasi.
Mara elfu hata "MSUKUMA (Na elimu yake ya darasa la saba failure)" ndio angekuwa Speaker wa bunge, badala ya Job Ndugai.
Anaitwa Job LokoleKwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa.
Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu.
Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais Samia.
Kazi Iendelee!
Hahahaaaa.......sana tu!mhhhh yajayo yanafulahisha