J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 May 8, 2021 Thread starter #21 Samson Ngomboli said: Kweli maisha yanabadilika,yaani unaweza kudhani sio wewe uliyekuwa unasifia kila kitu,lakini hongera kwa kurudiwa na ufahamu wako. Click to expand... Hahahaaaa..... Siasa siyo uadui bwashee!
Samson Ngomboli said: Kweli maisha yanabadilika,yaani unaweza kudhani sio wewe uliyekuwa unasifia kila kitu,lakini hongera kwa kurudiwa na ufahamu wako. Click to expand... Hahahaaaa..... Siasa siyo uadui bwashee!
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 10,482 Reaction score 14,007 May 9, 2021 #22 Mama kwa spika ndugai bado ana Safari ndefu Sana.Spika mvunja katiba waziwazi.Kwa maoni yangu ni Bora kamati kuu ya ccm ingependekeza spika abadilishwe
Mama kwa spika ndugai bado ana Safari ndefu Sana.Spika mvunja katiba waziwazi.Kwa maoni yangu ni Bora kamati kuu ya ccm ingependekeza spika abadilishwe