Punguza povu Mkuu,Mi NIMEVITELEKEZA
Kwelii bhana....Si bora Mwenye nacho ana pa kutembelea vip yule ambaye hata hajui atakipata lini
Sent using Jamii Forums mobile app
ni moja ya picnic ya lazima mkuuFamilia nzima inaenda kutembelea kiwanja Weekend
Inauma sanaalafu unaona jirani wakiendelea na ujenzi utadhania wanaishi nnchi ingine.