Awamu hii watu walionunua viwanja Dar wanaenda kuvitembelea kama Mgonjwa

Awamu hii watu walionunua viwanja Dar wanaenda kuvitembelea kama Mgonjwa

Hiyo ipo kwenye ilani ya chama chetu na tunatekeleza.Ipo wazi:Kila aliye na kiwanja akitembelee kila mwezi ili kisipotee.Ujenzi utarajiwe baada ya mmliki kufariki.Kama uvumilivu haupo akiuze hata kwa nusu ya bei aliyonunulia.
 
Mbona Dar gharama zipo chini tu sababu ya uwepo wa viwanda Jaribu mkoa uone bei ya saruji 19,000@bag ,nondo,bati hazikamatiki
 
Back
Top Bottom