N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Mgonjwa hospitali...kwa sababu uwezo wa kujenga umepaa. Kama mingo zilikuwa hazieleweki unaweza jikuta unajenga awamu ya sita.
Kila wikiendi unaenda kukuangalia kiwanja kama kigonjwa kimelazwa Muhimbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila wikiendi unaenda kukuangalia kiwanja kama kigonjwa kimelazwa Muhimbili.
Sent using Jamii Forums mobile app