Unajua kuna wakati najiuliza nakosa majibu kuhusu mwendazake.
Hivi najiuliza kwanini alikua mkabila kiasi kile?Hivi inaingia akilini unateua watu wa kwenu tu na kupeleka miradi yote kwenu tu
Alinishangaza zaidi alivyobomoa nyumba kimara huku akizuia za mwanza akisema ni wapiga kura wake!!hapo najiuliza jee kwa kauli hii aliamini ukanda wake ndo wanaostahili kupewa kipaumbele?
Mwendazake hakua binadamu wa kawaida kama hakua binadam wa kawaida jamaa nahisi alikua mrundi duuuh
Mimi sijui hata ilikuaje akawa rais najiulizaga hadi leo, miaka michache tu nchi ikageuka jehanam ya kushughulika na wapinzani nchi ikayumba sekunde kadhaa
Haki ya mungu nawaambia angeendelea kuwepo hii nchi miaka michache mbeleni ingekuja kugeuka uwanja wa fujo au vita vya wenyewe kwa wenyewe sipachi picha huo uchato ungekuwaje km idea ya ukabila
Ilikua imefikia hatua hadi baadhi ya watu wa jamii yake ukimkosoa jpm wanakufuata inbox wanakutishia kifo kama ni mtandaoni au live ndo usiseme nilishawahi kutishiwa maisha na watu wa jamii yake mara nyingi tu yaani walijiona wao ndo raia na wenye haki wengine tulionekana kama wadudu tu ,takataka,wahujumu uchumi,mawakala wa mabeberu na maadui wa taifa
Asante mungu kwa kila hatua sijui ingekuaje.. eti mwendazake alikua na legacy acheni kuchekesha ndugu legacy ipi?
Hakua mtu wa kawaida, jamaa sidhan km ni mtanzania kamili ile roho hapana.
Wadau salaam, kipindi cha awamu ya 5 kuna baadhi ya watu waliondolewa kwenye nafasi za uongozi wa taasisi za umma kwasababu ya kua opposition, mfano aliyekua mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari Madasenga.
Alikua na vigezo vyote lakini aliondolewa kwasababu tu ni chadema. Bahati mbaya nafasi hiyo akapewa mtu ambaye hana elimu japo ya kidato cha nne ambayo inatajwa na mwongozo ili mtu awe mwenyekiti wa bodi ya shule.