Awamu ya 5 na sekta binafsi, kuna tusilolijua

hakuna sekta sensitivity kama Private sector,sector binafsi in kama Kobe ,ukimgusa kichwa anaficha ndani,kukitoa tena ni shughuli,tulip marehemu mengi alivyosakamwa sana na watawala ,kimsingi matajiri wazalendo hawana nafasi ,kama dewiji alitekwa,zakaria kanusurika,wewe unautaka utajiri bado

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure sector binafsi ndiyo mwajiri mkubwa
 
Bashite ndiye mshika mikoba aliyeandaliwa kuwa tajiri namba moja nchini kuyalinda maslahi ya baba yake wa kufikia. Mali anazomiliki Bashite ni zile anazomshikia baba yake uchwara. Nyie wengine mkifa na mfe tu.
 
Awamu ya 5 imejitahidi sana kujenga miundo mbinu ya uchumi kama Stiglers Gorge Hydro Electric Power, Standard Gauge Railway na barabara mbali mbali zinazounganisha mikoa. Kwa upande wa sekta binafsi ambayo ndiyo injini ya maendeleo inayopaswa kutumia hiyo miundo mbinu hali siyo nzuri. Kwa uchache tu nimeona kama kuna kitu sisi kama wananchi hatukijui. Maana wale watu wote viongozi wa sekta binafsi na wafanya biashara wakuu ama hatunao au wanapata misukosuko mikubwa kama ifuatavyo;

1. Reginald Mengi pengine huyu ni natural death.

2.Yusuf Manji kawa harassed, kanyang'anywa biashara zake kama ile Tigo mwishowe kakimbilia Canada.

3. Ali Mufuruki alikufa kiajabu ajabu tu eti kwa Pneumonia, sawa bana.
4. Shamte Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation yuko rumande kwa mashtaka ya kutakatisha fedha.

5. Simbeye ndiye naye last week ame resign kama Executive Secretary wa hiyo Tanzania Private Sector Foundation.

6. Mohamed Dewji alikuwa kidnapped na akarudi baada ya kulipa ransom.

7. Peter Zacharia wa Tarime alitaka kutekwa ila akawawahi kwa bastola. Then wakamkamata na kumfungulia mashtaka ya kutaka kujeruhi??

Yaweza kuwa ni wasiwasi wangu tu lakini ikiwa ni systematic process ya kuwa eliminate matajiri then tutajikuta tumejenga miundo mbinu ila tuna sekta binafsi DHAIFU. Na ndipo MDORORO wa UCHUMI utatokea. Kamwe Serikali haiwezi kufanya biashara na tusitegemee sana makampuni ya kigeni kama kina DANGOTE au VODACOM. Tujenge tabaka la matajiri wetu
Na Ndiyo umeshatokea ''things have gone out of hands already'' secta binafsi zinakufa kutokana na sera za majukwaani ''uncertainty polices''
 
Hapa ndiyo nakumbuka mchakato wa Katiba uliokufa kifo cha ghafla kwa uzembe wa JK. Katiba ingepiga msumali kuwa Rais hana madaraka ya mwisho kuanzisha mega projects zinazo cost multi Million Dollars bila approval ya Bunge.
 
Stuxnet nakukumbusha ongezea na kifo cha Bilionea Subhash Patel huyu alikua mwenyekiti wa wenyeviwanda Tanzania nae hatunae tena,hiki ni kifo cha sita cha mabilionea kutokea tanzania ndani ya miaka miwili.
Kifo ni ahadi lakini kwa idadi ya mabilionea tulionao tanzania na kasi ya vifo vyao ndani ya muda mfupi wa huu utawala kuna maswali yanakosa majibu.
 
ni systematic process ya kuwa eliminate matajiri
Hili ndiyo jibu. Mwalimu wake wa udikteta Paul K. kayafanya haya nchini kwake kwahiyo na huyu mwanafunzi anafata nyayo.

Madikteta wanaogopa sana matajiri, wanahisi misheni za kuwapindua zinaweza kupitiatia ana kufadhiliwa na matajiri.

Sijui kwann hujamtaja Ruge, na Alex Masawe pamoja na bilionea Msuya?
 
Stuxnet nakukumbusha ongezea na kifo cha Bilionea Subhash Patel huyu alikua mwenyekiti wa wenyeviwanda Tanzania nae hatunae tena,hiki ni kifo cha sita cha mabilionea kutokea tanzania ndani ya miaka miwili.
Kifo ni ahadi lakini kwa idadi ya mabilionea tulionao tanzania na kasi ya vifo vyao ndani ya muda mfupi wa huu utawala kuna maswali yanakosa majibu.
Anyway, mkuu unatumia lugha laini Sana. Hapa jiwe hachomoki ktk hili.
 
Awamu ya 5 imejitahidi sana kujenga miundo mbinu ya uchumi kama Stiglers Gorge Hydro Electric Power, Standard Gauge Railway na barabara mbali mbali zinazounganisha mikoa.

Kwa upande wa sekta binafsi ambayo ndiyo injini ya maendeleo inayopaswa kutumia hiyo miundo mbinu hali siyo nzuri. Kwa uchache tu nimeona kama kuna kitu sisi kama wananchi hatukijui.

Maana wale watu wote viongozi wa sekta binafsi na wafanya biashara wakuu ama hatunao au wanapata misukosuko mikubwa kama ifuatavyo;

1. Reginald Mengi pengine huyu ni natural death.

2. Yusuf Manji kawa harassed, kanyang'anywa biashara zake kama ile Tigo mwishowe kakimbilia Canada.

3. Ali Mufuruki alikufa kiajabu ajabu tu eti kwa Pneumonia, sawa bana.

4. Shamte Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation yuko rumande kwa mashtaka ya kutakatisha fedha.

5. Simbeye ndiye naye last week ame resign kama Executive Secretary wa hiyo Tanzania Private Sector Foundation.

6. Mohamed Dewji alikuwa kidnapped na inadaiwa akarudi baada ya kulipa ransom.

7. Peter Zacharia wa Tarime alitaka kutekwa ila akawawahi kwa bastola. Then wakamkamata na kumfungulia mashtaka ya kutaka kujeruhi??

Yaweza kuwa ni wasiwasi wangu tu lakini ikiwa ni systematic process ya kuwa eliminate matajiri then tutajikuta tumejenga miundo mbinu ila tuna sekta binafsi DHAIFU. Na ndipo MDORORO wa UCHUMI utatokea.

Kamwe Serikali haiwezi kufanya biashara na tusitegemee sana makampuni ya kigeni kama kina DANGOTE au VODACOM. Tujenge tabaka la matajiri wetu
Kwa kiasi fulani nimekuelewa,Ila ungetoa ushauri gani serikali ichukue kuimarisha sekta binafsi.
 
Stuxnet nakukumbusha ongezea na kifo cha Bilionea Subhash Patel huyu alikua mwenyekiti wa wenyeviwanda Tanzania nae hatunae tena,hiki ni kifo cha sita cha mabilionea kutokea tanzania ndani ya miaka miwili.
Kifo ni ahadi lakini kwa idadi ya mabilionea tulionao tanzania na kasi ya vifo vyao ndani ya muda mfupi wa huu utawala kuna maswali yanakosa majibu.
Kweli Subhash Patel ilikuwa ndiye majority shareholder wa Bank M ambayo tulishuhudia ikifilikisiwa na amana zake zikihamishiwa Azania Bancorp mnamo August 2018.

Uwezekano wa kupata Sonona baada ya kupoteza biashara kubwa yaweza kuleta mdororo wa afya hadi kufa.
 
Awamu ya 5 imejitahidi sana kujenga miundo mbinu ya uchumi kama Stiglers Gorge Hydro Electric Power, Standard Gauge Railway na barabara mbali mbali zinazounganisha mikoa.

Kwa upande wa sekta binafsi ambayo ndiyo injini ya maendeleo inayopaswa kutumia hiyo miundo mbinu hali siyo nzuri. Kwa uchache tu nimeona kama kuna kitu sisi kama wananchi hatukijui.

Maana wale watu wote viongozi wa sekta binafsi na wafanya biashara wakuu ama hatunao au wanapata misukosuko mikubwa kama ifuatavyo;

1. Reginald Mengi pengine huyu ni natural death.

2. Yusuf Manji kawa harassed, kanyang'anywa biashara zake kama ile Tigo mwishowe kakimbilia Canada.

3. Ali Mufuruki alikufa kiajabu ajabu tu eti kwa Pneumonia, sawa bana.

4. Shamte Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation yuko rumande kwa mashtaka ya kutakatisha fedha.

5. Simbeye ndiye naye last week ame resign kama Executive Secretary wa hiyo Tanzania Private Sector Foundation.

6. Mohamed Dewji alikuwa kidnapped na inadaiwa akarudi baada ya kulipa ransom.

7. Peter Zacharia wa Tarime alitaka kutekwa ila akawawahi kwa bastola. Then wakamkamata na kumfungulia mashtaka ya kutaka kujeruhi??

Yaweza kuwa ni wasiwasi wangu tu lakini ikiwa ni systematic process ya kuwa eliminate matajiri then tutajikuta tumejenga miundo mbinu ila tuna sekta binafsi DHAIFU. Na ndipo MDORORO wa UCHUMI utatokea.

Kamwe Serikali haiwezi kufanya biashara na tusitegemee sana makampuni ya kigeni kama kina DANGOTE au VODACOM. Tujenge tabaka la matajiri wetu
Nasikia ishu ya Manji ulikuwa ni mpango wa Simba SC kuimaliza Yanga FC.Ndiyo maana wakafanikiwa kuchukua makombe ya ligi kuu mfululizo.
 
Back
Top Bottom