Awamu ya 5 na sekta binafsi, kuna tusilolijua

Sure sector binafsi ndiyo mwajiri mkubwa
 
Bashite ndiye mshika mikoba aliyeandaliwa kuwa tajiri namba moja nchini kuyalinda maslahi ya baba yake wa kufikia. Mali anazomiliki Bashite ni zile anazomshikia baba yake uchwara. Nyie wengine mkifa na mfe tu.
 
Na Ndiyo umeshatokea ''things have gone out of hands already'' secta binafsi zinakufa kutokana na sera za majukwaani ''uncertainty polices''
 
Na Ndiyo umeshatokea ''things have gone out of hands already'' secta binafsi zinakufa kutokana na sera za majukwaani ''uncertainty polices''
Hapa ndiyo nakumbuka mchakato wa Katiba uliokufa kifo cha ghafla kwa uzembe wa JK. Katiba ingepiga msumali kuwa Rais hana madaraka ya mwisho kuanzisha mega projects zinazo cost multi Million Dollars bila approval ya Bunge.
 
Stuxnet nakukumbusha ongezea na kifo cha Bilionea Subhash Patel huyu alikua mwenyekiti wa wenyeviwanda Tanzania nae hatunae tena,hiki ni kifo cha sita cha mabilionea kutokea tanzania ndani ya miaka miwili.
Kifo ni ahadi lakini kwa idadi ya mabilionea tulionao tanzania na kasi ya vifo vyao ndani ya muda mfupi wa huu utawala kuna maswali yanakosa majibu.
 
ni systematic process ya kuwa eliminate matajiri
Hili ndiyo jibu. Mwalimu wake wa udikteta Paul K. kayafanya haya nchini kwake kwahiyo na huyu mwanafunzi anafata nyayo.

Madikteta wanaogopa sana matajiri, wanahisi misheni za kuwapindua zinaweza kupitiatia ana kufadhiliwa na matajiri.

Sijui kwann hujamtaja Ruge, na Alex Masawe pamoja na bilionea Msuya?
 
Anyway, mkuu unatumia lugha laini Sana. Hapa jiwe hachomoki ktk hili.
 
Kwa kiasi fulani nimekuelewa,Ila ungetoa ushauri gani serikali ichukue kuimarisha sekta binafsi.
 
Kweli Subhash Patel ilikuwa ndiye majority shareholder wa Bank M ambayo tulishuhudia ikifilikisiwa na amana zake zikihamishiwa Azania Bancorp mnamo August 2018.

Uwezekano wa kupata Sonona baada ya kupoteza biashara kubwa yaweza kuleta mdororo wa afya hadi kufa.
 
Nasikia ishu ya Manji ulikuwa ni mpango wa Simba SC kuimaliza Yanga FC.Ndiyo maana wakafanikiwa kuchukua makombe ya ligi kuu mfululizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…