Awamu ya 6: Tusije zembea ujenzi wa Bwawa la uzalishaji umeme Stieglers Gorge

Hiyo ni opinion yako. Opinion yangu ni kuwa huu mradi tutaujutia maisha yetu yote. Na watoto na wajukuu zetu watatulaani kwa kuwaharibia future yao na kuwatwika mzigo usio na faida yeyote.
Muda utaonyesha nani yuko sahihi.

Amandla...
Hakuna kujutia teknolojia ambayo ni proven, clean na low cost over decades.
Nakubaliana na wewe , kuwa tukubaliane kutokubaliana, and time, I am sure will prove me right.
 
B.H. Ladwa Ltd, Mohamed Builders Ltd,Advent construction ltd, Sino,Sonoma etc je we wa wapi?
 
Point
 
Ni kweli kabisa usemacho, je wakati tunatumia umeme wa maji gharama ilikuwa nafuu? Mimi sio engineer nitaamini vipi hiki usemacho? Au niamini tu ili nipone?
Wewe ni adui wa ndani usie jijua
 
Tumeliwa
 
Mradi wa Umeme bwawa la Nyerere unafadhiliwa na pesa yetu 100%.
Na ni umeme utakaikuwa safi.
 
Gesi iliishia wapi
 
Msikariri kila mnacholishwa na wasioutakia mema mradi.
Mto Rufiji for millenia haujawahi kukauka.
Unaweza usikauke lkn ili bwawa lifanye kazi sinilazima level za ujazo zifikiwe ? mbona tulishawahi kuzima mitambo huko Kihansi kwaajili ya upungufu wa maji?
 
J

Je watakuwa wanamkomoa nani so far mradi huo uko kanda ya pwani!
Issue sio kukomoa na inaonekana bado umelala wewe, kukosekana kwa umeme au mgawo ni ulaji wa mabilioni kwa watu wengine (mafisadi)
 
Ni sawa na kusema jua linazidi kuisha kwa ukali huu.
Maji yamekuwapo for millions of years na mto Rufiji hautakauka leo wala kesho.
umeme wa maji enzi hizi ni miyeyusho tuu especially kama una gas ya kumwaga kama Tanzania, aibu tupu kwa gas ile na hatuna umeme au uliopo ni wa mgawo au bei mbaya sana , nafikiri umeme ungekuwa kitu rahisi sana kwa gas iliyopo ila uongozi unatuangusha sana
 
Duu....!
 
Njia yeyote ya kuhujumu miradi ya maendeleo ya watanzania kwa gharama yeyote..ikiwemo Sgr na strogious gourge na bandari na madaraja makubwa kama busis haiwezi kukibalika ..I
Una nn chakuwafanya?
 
Washaanza kuleta mambo ya mabadiliko ya tabia ya nchi sababu ya kukuta miti unadhani watauendeleza huo mradi...
 
Kiongozi naomba unieleweshe...Kama tunauziwa gas yetu(yaani inachimbwa nchini kwetu) kwa Bei soko la dunia..sisi tunafaidika Nini..? maana nilifikiri moja ya makubaliano ya wao kuchimba gas yetu Ni akutupa kiasi flani kwa matumizi yetu au kutupunguzia bei..
Binafsi napata shida nikisia gas yetu Ni gharma Sana kuliko umeme wa maji..gas inakuwaje gharama sana wakati inachimbwa kwetu..??
 
Yote kwa yote ni mradi wa Umeme bwawa la Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…