GE2025 Awamu ya Kikwete ndio mzizi wa kuharibu mifumo thabiti ya Taifa hili kwa Maslahi yao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Kwa Watanzania wenye umri wa makamo kama wangu, tunakumbuka kuwa, tangu Awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu baada ya Bunge kuvunjwa madaraka ya Wabunge na Mawaziri yalikuwa yana seize mara moja huku nchi ikiendeshwa na Makatibu Wakuu.

Pia mfumo wa kukaimu madaraka ya Urais uliwatambua Spika na Jaji Mkuu kama Watu wanaoweza kukaimu Urais endapo Rais na Makamu wake wanakuwa nje ya nchi au nje ya majukumu yao kwa sababu zisizozuilika.

Sio hivyo tu Awamu ya 3 ya Mkapa alitunga Sheria ya TISS iliyoiunda rasmi Idara ya Usalama wa Taifa Kisheria ambapo ilitamka Mkurugenzi wa TISS kuhudumu kwa kipindi cha miaka 10. Suala hili liliwekwa kisheria kwa Makusudi kwa sababu lilihitaji kila Rais kuwa na Afisa Mkuu wake wa Ujasusi katika kipindi chote atakachokuwa madarakani.

Pia Mfumo wa nidhamu ya Watumishi wa Mahakama hasa Majaji na Mahakimu ulikuwa unasimamiwa na Tume ya Utumishi ya Mahakama pamoja na Mahakama yenyewe jambo lililotafsiri vizuri sana Uhuru wa Mhimili wa Mahakama.

Mfumo huu wa Kikatiba na Kisheria ukiokuwepo awali sio tu ulifanikisha kuwe na discipline kwenye uendeshaji wa nchi na Serikali bali uliwezesha watu kutambua kuwa madaraka yetu yana ukomo huu.

Hili lilisaidia sana Viongozi kutotumia madaraka yao vibaya kwa sababu waliwekewa mipaka iliyowafanya watambue ukomo wao.

Baada ya kuingia madarakani. Ili kutimiza azma ya kundi lake la kisiasa na Mtandao kuendelea kuwa na final say kwenye mambo yote ya kiutawala na kiuongozi nchini, Rais wa awamu ya 4 aliratibu mabadiliko madogo ya Katiba ambayo yaliweka vifungu vya Kikatiba vilivyoruhusu Mawaziri kuendelea kuwa Mawaziri hata baada ya Bunge kuvunja. Vifungu hivi vinakinzana na kifungu kikuu kinachotaja sifa ya Uwaziri kuwa ni Ubunge.
Hili limepelekea mkanganyiko na matumizi mabaya ya rasilimali za Taifa kwa Mawaziri hawa kipindi ambacho bado wanaendelea kuhudumu kama Mawaziri na kujihusisha na siasa za kipindi cha Uchaguzi wakati wa Uchaguzi.

Sio tu hivyo. Mwaka 2011 Kikwete aliratibu utungwaji wa Sheria ya Masuala ya Utawala ya Mahakama iliyowaweka Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao ni makada wa Chama cha Mapinduzi na wenyeviti wa Kamati za Kisiasa za Chama cha Mapinduzi kuwa Wenyeviti wa Kamati za Nidhamu za Mahakimu katika ngazi ya Wilaya. Hili liliua dhana ya Uhuru wa Mahakama. Na matokeo yake ndo haya tunayoyaona leo ya Mahakimu kutokuwa huru kwa kuogopa kushughulikiwa kinidhamu na Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao ni makada wa Chama cha Mapinduzi.

Tunahitaji sana Katiba Mpya iliyo bora ili kuweka discipline nchini.

No Reforms No Election ✊️ ✌️
 
No Reforms No Election ✊️
Kikwete ni Kivuruge kweli kweli ni wakati sasa ashughulikiwe ipasavyo.
 
Hivi Kuna Rais aliyeajiri Kama Kikwete?
Naona MTOA post unapaniki sana
OCTOBER TUNATIKI ✅
 
Kumbeee ndio jina lake jipya....Kivuruge!!
 
Hivi Kuna Rais aliyeajiri Kama Kikwete?
Naona MTOA post unapaniki sana
OCTOBER TUNATIKI ✅
Ndio sababu ya kuua mifumo ya kiutawala ya nchi?

Yani upewe shanga utoe dhahabu ukimbie kama zuzu eti umepewa ajira ya mshahara wa laki 3 bila nyongeza kwa miaka 10?
 
Kwa Watanzania wenye umri wa makamo kama wangu, tunakumbuka kuwa, tangu Awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu baada ya Bunge kuvunjwa madaraka ya Wabunge na Mawaziri yalikuwa yana seize mara moja huku nchi ikiendeshwa na Makatibu Wakuu.

Pia mfumo wa kukaimu madaraka ya Urais uliwatambua Spika na Jaji Mkuu kama Watu wanaoweza kukaimu Urais endapo Rais na Makamu wake wanakuwa nje ya nchi au nje ya majukumu yao kwa sababu zisizozuilika.

Sio hivyo tu Awamu ya 3 ya Mkapa alitunga Sheria ya TISS iliyoiunda rasmi Idara ya Usalama wa Taifa Kisheria ambapo ilitamka Mkurugenzi wa TISS kuhudumu kwa kipindi cha miaka 10. Suala hili liliwekwa kisheria kwa Makusudi kwa sababu lilihitaji kila Rais kuwa na Afisa Mkuu wake wa Ujasusi katika kipindi chote atakachokuwa madarakani.

Pia Mfumo wa nidhamu ya Watumishi wa Mahakama hasa Majaji na Mahakimu ulikuwa unasimamiwa na Tume ya Utumishi ya Mahakama pamoja na Mahakama yenyewe jambo lililotafsiri vizuri sana Uhuru wa Mhimili wa Mahakama.

Mfumo huu wa Kikatiba na Kisheria ukiokuwepo awali sio tu ulifanikisha kuwe na discipline kwenye uendeshaji wa nchi na Serikali bali uliwezesha watu kutambua kuwa madaraka yetu yana ukomo huu.

Hili lilisaidia sana Viongozi kutotumia madaraka yao vibaya kwa sababu waliwekewa mipaka iliyowafanya watambue ukomo wao.

Baada ya kuingia madarakani. Ili kutimiza azma ya kundi lake la kisiasa na Mtandao kuendelea kuwa na final say kwenye mambo yote ya kiutawala na kiuongozi nchini, Rais wa awamu ya 4 aliratibu mabadiliko madogo ya Katiba ambayo yaliweka vifungu vya Kikatiba vilivyoruhusu Mawaziri kuendelea kuwa Mawaziri hata baada ya Bunge kuvunja. Vifungu hivi vinakinzana na kifungu kikuu kinachotaja sifa ya Uwaziri kuwa ni Ubunge.
Hili limepelekea mkanganyiko na matumizi mabaya ya rasilimali za Taifa kwa Mawaziri hawa kipindi ambacho bado wanaendelea kuhudumu kama Mawaziri na kujihusisha na siasa za kipindi cha Uchaguzi wakati wa Uchaguzi.

Sio tu hivyo. Mwaka 2011 Kikwete aliratibu utungwaji wa Sheria ya Masuala ya Utawala ya Mahakama iliyowaweka Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao ni makada wa Chama cha Mapinduzi na wenyeviti wa Kamati za Kisiasa za Chama cha Mapinduzi kuwa Wenyeviti wa Kamati za Nidhamu za Mahakimu katika ngazi ya Wilaya. Hili liliua dhana ya Uhuru wa Mahakama. Na matokeo yake ndo haya tunayoyaona leo ya Mahakimu kutokuwa huru kwa kuogopa kushughulikiwa kinidhamu na Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao ni makada wa Chama cha Mapinduzi.

Tunahitaji sana Katiba Mpya iliyo bora ili kuweka discipline nchini.

No Reforms No Election ✊️ ✌️
 
Ndio sababu ya kuua mifumo ya kiutawala ya nchi?

Yani upewe shanga utoe dhahabu ukimbie kama zuzu eti umepewa ajira ya mshahara wa laki 3 bila nyongeza kwa miaka 10?
Na ndicho tunachotaka waTZ, tumelia sana mishahara haipandi Samia akaja akatupandisha ndo maana tunasema October tunatiki ✅ ✅
 
Kapandisha elfu 50 baada ya miaka 10? Wao wamejipandishia kiasi gani na kujipa marupurupu kiasi gani kila mwaka?

Umeona nyumba ya ndugai au unatiki tu kama zuzu? We una nini na nyongeza yako mpya? Amelipwa bei gani afikie alipo??
 
Hata ingekuwa elfu 2
Tunasema OCTOBER TUNATIKI ✅
 
Ninazuga? Subiri uone OCTOBER VILE TUNATIKI ✅

Kwani mnasubiri kutiki (sanaa) wakati matokeo mshapangia maporini? Mnafanya maigizo salma mshagawana mtuache tupumue endeleeni kula!
 
Tumeanza kwa wabunge wa CCM sasa tunasema OCTOBER TUNATIKI KWA MH SAMIA SULUHU HASSAN
 
Kwa Watanzania wenye umri wa makamo kama wangu, tunakumbuka kuwa, tangu Awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu baada ya Bunge kuvunjwa madaraka ya Wabunge na Mawaziri yalikuwa yana seize mara moja huku nchi ikiendeshwa na Makatibu Wakuu.

Pia mfumo wa kukaimu madaraka ya Urais uliwatambua Spika na Jaji Mkuu kama Watu wanaoweza kukaimu Urais endapo Rais na Makamu wake wanakuwa nje ya nchi au nje ya majukumu yao kwa sababu zisizozuilika.

Sio hivyo tu Awamu ya 3 ya Mkapa alitunga Sheria ya TISS iliyoiunda rasmi Idara ya Usalama wa Taifa Kisheria ambapo ilitamka Mkurugenzi wa TISS kuhudumu kwa kipindi cha miaka 10. Suala hili liliwekwa kisheria kwa Makusudi kwa sababu lilihitaji kila Rais kuwa na Afisa Mkuu wake wa Ujasusi katika kipindi chote atakachokuwa madarakani.

Pia Mfumo wa nidhamu ya Watumishi wa Mahakama hasa Majaji na Mahakimu ulikuwa unasimamiwa na Tume ya Utumishi ya Mahakama pamoja na Mahakama yenyewe jambo lililotafsiri vizuri sana Uhuru wa Mhimili wa Mahakama.

Mfumo huu wa Kikatiba na Kisheria ukiokuwepo awali sio tu ulifanikisha kuwe na discipline kwenye uendeshaji wa nchi na Serikali bali uliwezesha watu kutambua kuwa madaraka yetu yana ukomo huu.

Hili lilisaidia sana Viongozi kutotumia madaraka yao vibaya kwa sababu waliwekewa mipaka iliyowafanya watambue ukomo wao.

Baada ya kuingia madarakani. Ili kutimiza azma ya kundi lake la kisiasa na Mtandao kuendelea kuwa na final say kwenye mambo yote ya kiutawala na kiuongozi nchini, Rais wa awamu ya 4 aliratibu mabadiliko madogo ya Katiba ambayo yaliweka vifungu vya Kikatiba vilivyoruhusu Mawaziri kuendelea kuwa Mawaziri hata baada ya Bunge kuvunja. Vifungu hivi vinakinzana na kifungu kikuu kinachotaja sifa ya Uwaziri kuwa ni Ubunge.
Hili limepelekea mkanganyiko na matumizi mabaya ya rasilimali za Taifa kwa Mawaziri hawa kipindi ambacho bado wanaendelea kuhudumu kama Mawaziri na kujihusisha na siasa za kipindi cha Uchaguzi wakati wa Uchaguzi.

Sio tu hivyo. Mwaka 2011 Kikwete aliratibu utungwaji wa Sheria ya Masuala ya Utawala ya Mahakama iliyowaweka Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao ni makada wa Chama cha Mapinduzi na wenyeviti wa Kamati za Kisiasa za Chama cha Mapinduzi kuwa Wenyeviti wa Kamati za Nidhamu za Mahakimu katika ngazi ya Wilaya. Hili liliua dhana ya Uhuru wa Mahakama. Na matokeo yake ndo haya tunayoyaona leo ya Mahakimu kutokuwa huru kwa kuogopa kushughulikiwa kinidhamu na Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao ni makada wa Chama cha Mapinduzi.

Tunahitaji sana Katiba Mpya iliyo bora ili kuweka discipline nchini.

No Reforms No Election ✊️ ✌️
Kama kawaida, wanafiki wameamka tena na kikwete.....mtashindwa kama mlivyoshindwa mara zote.
 
Hakuna kiongozi ambaye ana mabaya tu,kila kiongozi ana mabaya yake na mazuri yake,sasa tueleze na mazuri yake pia.Sio kweli kuwa kikwete alikuwa kiongozi mbaya
 
Back
Top Bottom