Awamu ya Mama Samia Suluhu Hassan itakuwa kama ya Mzee Ruksa

Awamu ya Mama Samia Suluhu Hassan itakuwa kama ya Mzee Ruksa

Hadi 2025 dola moja= 10,000 Tsh
Kwa jicho la tatu nauona utawala wa Samia Suluhu Hassan (SSH) ukienda kufanana ama kushahabiana na utawala wa awamu ya pili wa Mzee Ruksa. Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibari na Mzee Mwinyi pia alikuwa Mzanzibari. Hata kimuonekano tu na jinsi wanavyoongea, wote hawa wawili wana haiba fulani hivi ya "upole"....
 
Kwa hiyo kutoonekana hela ni ishara kua hakuna ufisadi? Na kwamba kuna uchumi mzuri? Hii ni mentality ya wapi?

Uo uchumi mzuri nmeusema wapi? Na wapi nimesema kuwa hakuna ufisadi? Ndio maana nimetumia neno kudhibiti na sio hakuna.

Unapoangalia tofauti ya kipindi hela ilipokuwa inaonekana na kupatikana kwa wingi na hali ya hela yasasa jaribu kurelate kasi ya maendeleo kwa vipindi vyote utagundua kuna utofauti mkubwa sana.
 
Maendeleo gani unayozungumzia? Ukosefu wa ajira, kufunga biashara, kubambikia kodi, kubambikia kesi, kutekana?
 
Kama nawaona matrafiki na TRA.
Ila matrafiki wameshindikana.
Walikuwa wanapiga hadi kipindi cha magu
 
Kwa hiyo kutoonekana hela ni ishara kua hakuna ufisadi? Na kwamba kuna uchumi mzuri? Hii ni mentality ya wapi?
Hela hazionekani na vitu vimepanda bei, mafuta ya kula yenyewe ni shida, huo ndio uchumi mzuri, according to wafuasi wa Jiwe..
 
Sasa unapendekeza umasikini?

Usawa tu.
Kupata faida lkn SI kwa hasara ya wengine.

Na lingine ni hili, kwa asilimia kubwa, maendeleo ya mtu mmoja mmoja yanategemea mtu huyo anavyojituma. Mabadiriko ya uongozi yanachangia kwa kiwango kidogo tu.
 
Kila mtu atumie ujanja wake wa Mjini hao ambao "walioletwa" na Magufuli kasi ya kuishi mjini bila kubebwa na mtu ni ngumu warudi kulima mbogamboga kando ya Ziwa
 
Back
Top Bottom