Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Kwa hiyo kutoonekana hela ni ishara kua hakuna ufisadi? Na kwamba kuna uchumi mzuri? Hii ni mentality ya wapi?Hela mtaani hazikuonekana kwa sababu zifuatazo
1: utekelezaji wa miradi ya maendeleo
2 alidhibiti ufisadi na rushwa kwa kiwango kikubwa...
Kwa jicho la tatu nauona utawala wa Samia Suluhu Hassan (SSH) ukienda kufanana ama kushahabiana na utawala wa awamu ya pili wa Mzee Ruksa. Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibari na Mzee Mwinyi pia alikuwa Mzanzibari. Hata kimuonekano tu na jinsi wanavyoongea, wote hawa wawili wana haiba fulani hivi ya "upole"....
Kwa hiyo kutoonekana hela ni ishara kua hakuna ufisadi? Na kwamba kuna uchumi mzuri? Hii ni mentality ya wapi?
Maendeleo gani unayozungumzia? Ukosefu wa ajira, kufunga biashara, kubambikia kodi, kubambikia kesi, kutekana?Uo uchumi mzuri nmeusema wapi? Na wapi nimesema kuwa hakuna ufisadi? Ndio maana nimetumia neno kudhibiti na sio hakuna.
Unapoangalia tofauti ya kipindi hela ilipokuwa inaonekana na kupatikana kwa wingi na hali ya hela yasasa jaribu kurelate kasi ya maendeleo kwa vipindi vyote utagundua kuna utofauti mkubwa sana.
Wakati ule Mzee Mwinyi alipoingia madarakani hakuwa ametoka kwenye "the same system"?Nimegundua jamii nyingi bado tu wajinga...kama unategemea jipya kutoka the same system basi kapimwe akili
Maendeleo gani unayozungumzia? Ukosefu wa ajira, kufunga biashara, kubambikia kodi, kubambikia kesi, kutekana?
Ndoto za abunuwasi.Jpm Alibana hela,nadhani baada ya siku 21 tutaanza kuokota hela mabarabarani
Nina hamu kubwa na Awamu ya Rukhsa part3 angalao nimalizie Pagala langu
Sasa unapendekeza umasikini?Timu masilahi.
🤣🤣🤣
Kwa hiyo kutoonekana hela ni ishara kua hakuna ufisadi? Na kwamba kuna uchumi mzuri? Hii ni mentality ya wapi?
Mmemuwekea? KATIBA INASEMA YY NDIO ANATEUA.HAITO KUWA HIVYO,
TUME MUWEKEA MAKAMO WAKE kichaa kichaa
MTATUELEWA TU zama zime badirika, HATUTO RUDI NYUMA.
Hela hazionekani na vitu vimepanda bei, mafuta ya kula yenyewe ni shida, huo ndio uchumi mzuri, according to wafuasi wa Jiwe..Kwa hiyo kutoonekana hela ni ishara kua hakuna ufisadi? Na kwamba kuna uchumi mzuri? Hii ni mentality ya wapi?
Sasa unapendekeza umasikini?
Kila mtu atumie ujanja wake wa Mjini hao ambao "walioletwa" na Magufuli kasi ya kuishi mjini bila kubebwa na mtu ni ngumu warudi kulima mbogamboga kando ya ZiwaUsawa tu.
Kupata faida lkn SI kwa hasara ya wengine.
Na lingine ni hili, kwa asilimia kubwa, maendeleo ya mtu mmoja mmoja yanategemea mtu huyo anavyojituma. Mabadiriko ya uongozi yanachangia kwa kiwango kidogo tu.