PostGE2025 Awamu ya Pili: Uelekeo sasa ni World Bank, IMF, USA, Canada, UK, Japan, Korea Kusini na Global Fund

PostGE2025 Awamu ya Pili: Uelekeo sasa ni World Bank, IMF, USA, Canada, UK, Japan, Korea Kusini na Global Fund

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Baada ya mkeka wa EU kutiki na jambo la ICC kuwa linaendelea vizuri sana.

Kifuatacho sasa ni kwa Wafadhili wengine wakubwa wote wa Tanzania. Kuanzia Marekani, Benki ya Dunia, IMF, Global Fund, Korea Kusini, Japan, Canada, UNDP, Sweden, Finland, Uswizi na Norway.

Kwa kifupi hakuna rangi CCM mtaacha ona safari hii. Hawa chawa wenu Majenerali wa Jeshi itafika kipindi watageukwa na askari wao baada ya maisha kuzidi kuwa magumu mitaani.

Tutakuwepo
 
Baada ya mkeka wa EU kutiki na jambo la ICC kuwa linaendelea vizuri sana.

Kifuatacho sasa ni kwa Wafandili wengine wakubwa wote wa Tanzania. Kuanzia Marekani, Benki ya Dunia, IMF, Global Fund, Korea Kusini, Japan, Canada na Norway.

Kwa kifupi hakuna rangi CCM mtaacha ona safari hii. Hawa chawa wenu Majenerali wa Jeshi itafika kipindi watageukwa na askari wao baada ya maisha kuzidi kuwa magumu mitaani.

Tutakuwepo
20251127_125555.jpg
 
IMF ni Ulaya na waligawana na Marekani ikamiliki WB na Ulaya ni IMF, so tegemea rungu pia.

Pia kule World Bank Eu Wana share zao, hivyo tegemea rungu, sinahakika sana kwa Japani na Korea
 
Tunasipo chukua hatya mapema unaelekea kwa Zimbabwe by mwakani muda kama huu Dolla 1 itakuwa sh 6000 za kitanzania
Wakishakaa na hilo Bunge unadhani kuna hatua tena za kuchukua madhara yake ni makubwa kuliko unavyodhania Zimbabwe ilikua hivi hivi mpaka wakaanza kutumia hela za Nchi jirani hao jamaa watatunyoosha nafikiri kwa sisi tunaotoa bidhaa nje ya Tanzania kazi tunayo aisee maana dola itakua na nguvu kuliko maelezo..
 
Baada ya mkeka wa EU kutiki na jambo la ICC kuwa linaendelea vizuri sana.

Kifuatacho sasa ni kwa Wafandhili wengine wakubwa wote wa Tanzania. Kuanzia Marekani, Benki ya Dunia, IMF, Global Fund, Korea Kusini, Japan, Canada na Norway.

Kwa kifupi hakuna rangi CCM mtaacha ona safari hii. Hawa chawa wenu Majenerali wa Jeshi itafika kipindi watageukwa na askari wao baada ya maisha kuzidi kuwa magumu mitaani.

Tutakuwepo

Mimi kilio changu nakipeleka kwa wakuu wa vyombo waoneeni huruma watanganyika tunaingia matatizoni kwa sababu ya mtu Mmoja

Tuendelee kusoma visomo vyetu ili parapanda ilie na bendera nusu mlingoti iweze kupandishwa mapema kabla Mwaka huu haujaisha

Kapora uchaguzi na uhai wa Ndugu zetu na mbaya zaidi kawafukia kibabe na bado anajizima data Kwamba wananchi walimchagua huku walikuwa hawamtaki ameshindwa KUSIMAMIA RASIMALI za nchi ili ziwanufaishe watanganyika katika kuwapa fursa za Ajira na kupunguza ugumu wa Maisha kwa wananchi yeye anakula tu kwa urefu wa Kamba yake na Abdul na kuendekeza tamaa na ufisadi uliokithiri na kutulingishia walipa Kodi wake na Rolls Royce na dharau zake za nywi nywi nywi nywi nywi

Bado anatuteka na kutuua wananchi ili kutujengea hofu wananchi tukae kimya na tusahau haya mauaji aliyoyafanya
 
Back
Top Bottom