Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #21
Hakuna mkuu wa chombo chochote cha usalama mwenye akili.Mimi kilio changu nakipeleka kwa wakuu wa vyombo waoneeni huruma watanganyika tunaingia matatizoni kwa sababu ya mtu Mmoja
Tuendelee kusoma visomo vyetu ili parapanda ilie na bendera nusu mlingoti iweze kupandishwa mapema kabla Mwaka huu haujaisha
Kapora uchaguzi na uhai wa Ndugu zetu na mbaya zaidi kawafukia kibabe na bado anajizima data Kwamba wananchi walimchagua huku walikuwa hawamtaki ameshindwa KUSIMAMIA RASIMALI za nchi ili ziwanufaishe watanganyika katika kuwapa fursa za Ajira na kupunguza ugumu wa Maisha kwa wananchi yeye anakula tu kwa urefu wa Kamba yake na Abdul na kuendekeza tamaa na ufisadi uliokithiri na kutulingishia walipa Kodi wake na Rolls Royce na dharau zake za nywi nywi nywi nywi nywi
Bado anatuteka na kutuua wananchi ili kutujengea hofu wananchi tukae kimya na tusahau haya mauaji aliyoyafanya
Wote wana akili za kuvukia barabara na kumlamba nyayo Samia.
Eti inaacha nchi iingie kwenye economic crisis kwa sababu tu ya kumlinda mtu mmoja na kikundi chake cha wahuni huku maelfu ya wananchi wakiuwawa.