LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Wanaocheka wanaweza wakaja kulia baadae na wanaolia wanaweza wakaja kucheka vile vile, siku zote hata biashara ikikosa ushindani usitegemee huduma nzuri na ndio hivyo hivyo kukosekana kwa Upinzani msitegemee mambo yatakuwa sawa kama mnavyodhania, yanaweza yakapitishwa masheria kandamizi zaidi sababu hakuna wakubisha tena.
Mnaoshangilia leo kaeni mguu sawa.
Mnaoshangilia leo kaeni mguu sawa.