Uchaguzi 2020 Awamu ya pili wote tujiandae, mnaocheka mnaweza kuja kulia

Uchaguzi 2020 Awamu ya pili wote tujiandae, mnaocheka mnaweza kuja kulia

Mmbunge wa jimbo letu jana kafanya pati ya nguvu kachinja ng'ombe watano na kulewesha watu mpk wakatambaa pamoja na kuwajaza mapesa, siasa hizi jamani!!!! Kibamba moja hyo.
Wacha wale na kunywa mpaka wazime
Huyo mbunge siyo fala atarudisha hela yake Mara 100
 
Aawapi hayo nimaneno ya mkosaji.

wahaya.
wachaga.
wasukuma.
wakurya.
wanyakyusa.
wanyamwezi.
wazaramo na makabila mengine yote ya Tanzania wameonyesha imani kubwa sana kwa JPM na CCM mpya.
mkuu mwambie basi baba yenu arudishe intaneti kama zamani kazi zinakwama huku makazini maana speed ya kinyonga kama ushindi si ashajipa
 
Aawapi hayo nimaneno ya mkosaji.

wahaya.
wachaga.
wasukuma.
wakurya.
wanyakyusa.
wanyamwezi.
wazaramo na makabila mengine yote ya Tanzania wameonyesha imani kubwa sana kwa JPM na CCM mpya.
Duuh,....ulichoongea na mtoa mda ni tofauti kabisa
 
Ile mitano ilikuwa trailer, sahivi starring ndio anakutana na jambazi sasa ile scene ngumu katika movie ndio inakuja.
Don Yen(Meko) vs Boyka (wabongo)
Agizen kiroba cha popcorn
 
NINA HAMU NIMUONE NDUGAI TENA NA KEBEHI ZAKE NA MIPASHO AKIFUATIWA NA TULIA AKSON
 
Duuh,....ulichoongea na mtoa mda ni tofauti kabisa
watanzania wanaimani na JPM makabila yote,kada zote,dini zote.JPM awezi kuwakandamiza watu waliomuonyesha kwadhati kuwa wanaimani nae kwa kumpa kura za kishindo cha covid-19.
 
Ile mitano ilikuwa trailer, sahivi starring ndio anakutana na jambazi sasa ile scene ngumu katika movie ndio inakuja.
Don Yen(Meko) vs Boyka (wabongo)
Agizen kiroba cha popcorn
Aisee mbona wametoa emoji ya kicheko maana hii Coment ni kucheka kiwango cha Bandama kufanyiwa Surgery......
"Scene Ngumu katika Movie" @ Mi5 Tena Naombeni Jina la Movie hii ni Season ya Ngapi vile............
 
Mtoto wa nyani aliona vichaka vinaungua akawa anaruka na kushangilia ilipofika jioni ndio akajua hana pa kulala.
 
watanzania wanaimani na JPM makabila yote,kada zote,dini zote.JPM awezi kuwakandamiza watu waliomuonyesha kwadhati kuwa wanaimani nae kwa kumpa kura za kishindo cha covid-19.
Nimekumbuka sentensi za kuongea Kinyume cha maana, hivi hii Topic ya sentensi za hivi ilikuwepo katika masomo ya lugha? au nilisomaga mwenyewe.....................
 
Uzuri ni kwamba msoto utakaokuja hautakua selective, tuta-suffer wote.
Yaaah ata kadi ya chama pendwa kwani shilling ngapi ili nipate kazi.

Ngoja jumatatu nianze kwenda kwa balozi kuomba kadi ya chama pendwa aisee maana na engineering yangu naweza kosa kazi kizembe
 
Wananchi wa hali ya chini wanampenda Magufuli mnoooo

Fanyeni kuishi mtaani mjichanganye na bodaboda, mamantilie, wenye magenge, masokoni, machinga ndio mtaijua nguvu ya John Pombe Magufuli
Haina shida tutakubali tufungiwe ndani ya mghahawa pale TRA watajapokua wanapita kuchukua vyao.
 
Keyboard warriors wamegeuka kuwa manabii wa kutabiri yajayo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto wa nyani aliona vichaka vinaungua akawa anaruka na kushangilia ilipofika jioni ndio akajua hana pa kulala.
 
Turudishieni mitandao tusheherekeeee ushindiiiiiiiii
 
Mtoto wa nyani aliona vichaka vinaungua akawa anaruka na kushangilia ilipofika jioni ndio akajua hana pa kulala.
Mtoto wa shoga nae aliruka ruka alipo sikia baba yake shoga ila ilapo ana ameinamishwa akajua anae fuata ni yeye.
 
Back
Top Bottom