Uchaguzi 2020 Awamu ya pili wote tujiandae, mnaocheka mnaweza kuja kulia

Uchaguzi 2020 Awamu ya pili wote tujiandae, mnaocheka mnaweza kuja kulia

Hadi sasa hivi sijaelewa, hivi upinzani ukishinda na maisha nayo yanakuwa rahisi?
 
yanaweza yakapitishwa masheria kandamizi zaidi sababu hakuna wakubisha tena
Ingawa tunakoelekea ni siri ya Mungu pekee, lakini je ni sheria ipi kandamizi ambayo haikupitishwa sababu wabunge wa upinzani walibisha?
 
Alhamdullilah,shukrani zote anastahili Mwenyezi Mungu.Siku imefika,kura zimepigwa na matokeo yametoka,ni jambo la kushukuru.
Kwa waliofariki katika mchakato huu Mwenyezi Mungu azipokee roho zao na azipumzishe kwa amani.Kwa waliopata majeraha,ni suala la muda lakini itabidi maisha yaendelee.
Kuhusu kitakachotokea baada ya hapa ni suala gumu kulitabiri lakini kama ulivyosema waliocheka wanaweza kulia na waliolia wakacheka.
Jambo moja ni dhahiri,Chama Cha Mapinduzi kimeondoka katika chama cha siasa kinachotegemea ushawishi na kuwa Chama chenye vyombo na maguvu.
Wote tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa CCM kushinda kwani KUSHINDWA kwa CCM ndio mwisho wa amani ya nchi hii.Ni bora waendelee kushinda tuwe na amani kuliko washindwe tumwage damu zaidi ya hii iliyomwagika.
Mwenyezi Mungu ni muweza ,nani alitegemea kuwa Mahiga hatakukuwa mbunge wa Iringa?
Ni mmoja kati ya mawaziri shupavu hapa tz,ila alipokufa alizikwa kama yatima.
 
Wanaocheka wanaweza wakaja kulia baadae na wanaolia wanaweza wakaja kucheka vile vile, siku zote hata biashara ikikosa ushindani usitegemee huduma nzuri na ndio hivyo hivyo kukosekana kwa Upinzani msitegemee mambo yatakuwa sawa kama mnavyodhania, yanaweza yakapitishwa masheria kandamizi zaidi sababu hakuna wakubisha tena.

Mnaoshangilia leo kaeni mguu sawa.
Mtizamo ...unaweza kua au usiwe na ukweli sema hatuna manabii bali wavamizi tu
 
Wanaocheka wanaweza wakaja kulia baadae na wanaolia wanaweza wakaja kucheka vile vile, siku zote hata biashara ikikosa ushindani usitegemee huduma nzuri na ndio hivyo hivyo kukosekana kwa Upinzani msitegemee mambo yatakuwa sawa kama mnavyodhania, yanaweza yakapitishwa masheria kandamizi zaidi sababu hakuna wakubisha tena.

Mnaoshangilia leo kaeni mguu sawa.
Navuta picha jinsi watakavyotekwa wale wote wasiosema ndio kwenye kikao cha bunge . Jiwe apewe 10 tena !!! Ndio,
Jiwe atawale mpaka achoke ndio!!!
 
Aawapi hayo nimaneno ya mkosaji.

wahaya.
wachaga.
wasukuma.
wakurya.
wanyakyusa.
wanyamwezi.
wazaramo na makabila mengine yote ya Tanzania wameonyesha imani kubwa sana kwa JPM na CCM mpya.
Wacha uongo mkuu.. usifananishe makabila ya watu na mataga
 
Aawapi hayo nimaneno ya mkosaji.

wahaya.
wachaga.
wasukuma.
wakurya.
wanyakyusa.
wanyamwezi.
wazaramo na makabila mengine yote ya Tanzania wameonyesha imani kubwa sana kwa JPM na CCM mpya.
Imani zipo nyingi,ni imani gani unayojaribu kuisema hapa?
Nenda kachinje jogoo"
 
Acha tufurahi kwa raha zetu maana yajayo tunayajua wenyewe,(ASIYE JISHUGHURISHA ASILE WALA KUPEWA) mwisho wa kunukuu
 
Wanaocheka wanaweza wakaja kulia baadae na wanaolia wanaweza wakaja kucheka vile vile, siku zote hata biashara ikikosa ushindani usitegemee huduma nzuri na ndio hivyo hivyo kukosekana kwa Upinzani msitegemee mambo yatakuwa sawa kama mnavyodhania, yanaweza yakapitishwa masheria kandamizi zaidi sababu hakuna wakubisha tena.

Mnaoshangilia leo kaeni mguu sawa.
Wengine tulishalia sana awamu ya kwanza ya magufulli hadi tumezoea
 
Wanaocheka wanaweza wakaja kulia baadae na wanaolia wanaweza wakaja kucheka vile vile, siku zote hata biashara ikikosa ushindani usitegemee huduma nzuri na ndio hivyo hivyo kukosekana kwa Upinzani msitegemee mambo yatakuwa sawa kama mnavyodhania, yanaweza yakapitishwa masheria kandamizi zaidi sababu hakuna wakubisha tena.

Mnaoshangilia leo kaeni mguu sawa.
Itafika wakati hata JF itafungiwa, ndio watasherekea chini ya uvungu, uzuri ni kwamba namba wataisoma watanzania wote bila kujali upinzani wala CCM
 
Amna rangi wataacha ona wacha washerekee tu! Miaka mitano hii tutaona vichekesho sana
Mmbunge wa jimbo letu jana kafanya pati ya nguvu kachinja ng'ombe watano na kulewesha watu mpk wakatambaa pamoja na kuwajaza mapesa, siasa hizi jamani!!!! Kibamba moja hyo.
 
Back
Top Bottom