Uchaguzi 2020 Awamu ya pili wote tujiandae, mnaocheka mnaweza kuja kulia

Hadi sasa hivi sijaelewa, hivi upinzani ukishinda na maisha nayo yanakuwa rahisi?
 
yanaweza yakapitishwa masheria kandamizi zaidi sababu hakuna wakubisha tena
Ingawa tunakoelekea ni siri ya Mungu pekee, lakini je ni sheria ipi kandamizi ambayo haikupitishwa sababu wabunge wa upinzani walibisha?
 
Ni mmoja kati ya mawaziri shupavu hapa tz,ila alipokufa alizikwa kama yatima.
 
Mtizamo ...unaweza kua au usiwe na ukweli sema hatuna manabii bali wavamizi tu
 
Navuta picha jinsi watakavyotekwa wale wote wasiosema ndio kwenye kikao cha bunge . Jiwe apewe 10 tena !!! Ndio,
Jiwe atawale mpaka achoke ndio!!!
 
Aawapi hayo nimaneno ya mkosaji.

wahaya.
wachaga.
wasukuma.
wakurya.
wanyakyusa.
wanyamwezi.
wazaramo na makabila mengine yote ya Tanzania wameonyesha imani kubwa sana kwa JPM na CCM mpya.
Wacha uongo mkuu.. usifananishe makabila ya watu na mataga
 
Aawapi hayo nimaneno ya mkosaji.

wahaya.
wachaga.
wasukuma.
wakurya.
wanyakyusa.
wanyamwezi.
wazaramo na makabila mengine yote ya Tanzania wameonyesha imani kubwa sana kwa JPM na CCM mpya.
Imani zipo nyingi,ni imani gani unayojaribu kuisema hapa?
Nenda kachinje jogoo"
 
Acha tufurahi kwa raha zetu maana yajayo tunayajua wenyewe,(ASIYE JISHUGHURISHA ASILE WALA KUPEWA) mwisho wa kunukuu
 
Wengine tulishalia sana awamu ya kwanza ya magufulli hadi tumezoea
 
Itafika wakati hata JF itafungiwa, ndio watasherekea chini ya uvungu, uzuri ni kwamba namba wataisoma watanzania wote bila kujali upinzani wala CCM
 
Amna rangi wataacha ona wacha washerekee tu! Miaka mitano hii tutaona vichekesho sana
Mmbunge wa jimbo letu jana kafanya pati ya nguvu kachinja ng'ombe watano na kulewesha watu mpk wakatambaa pamoja na kuwajaza mapesa, siasa hizi jamani!!!! Kibamba moja hyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…