Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Jamaa wanatuona ni wajinga haswaHakika mkuu! Sema kiongozi akihoji tena akiwa mwanachama wa CCM atasakamwa hatari! CCM kuna shida kubwa sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wanatuona ni wajinga haswaHakika mkuu! Sema kiongozi akihoji tena akiwa mwanachama wa CCM atasakamwa hatari! CCM kuna shida kubwa sana!
Ndiyo muda wao wa kutafuna haswaThey are saying this is their turn to eat, after five or so years of their bridled mouths.
Watafune tu! Majambazi yako bize kula maisha! Ila nawaambieni mwisho wao utafika!Ndiyo muda wao wa kutafuna haswa
Jamaa wanajua kupandikiza watoto na ndugu zao kwenye systemWatafune tu! Majambazi yako bize kula maisha! Ila nawaambieni mwisho wao utafika!
Kinacho kusumbua wewe ni chuki na ukabila hakuna jambo jingine, na kwa sababu ujinga ni wa kwako na hauna madhara mama ataendelea na kazi na atafanya vizuri kabisa kama unavyo ona watoto wako na wa wadogo zako kijijini huko wanaenda kusomea madarasa yenye tiles na roofing ya gypsum boardWewe ni chawa tu ila huyo bibi yako subiri! Atakaposhindwa kulipa mishahara ndo utajua hujui! Kwanza hata akiba ya fedha za kigeni hajui ni kiasi gani anajua Mwiguru Nchemba peke yake!
si busara tunapochangia hoja kutaja makabila ya watu.watanzania ni wamoja na mwl nyerere alitukumbusha ubaya wa watu kukumbatia ukabila ijapokuwa tunajua kuna makabila hii zana kwao ni ngumu kweli kweli lkn tujitahidi tu kuchangia mada bila subjugation.Nani kazungumzia ukabila hapa! Nyinyi mkikosa hoja mnakimbilia ukabila! Wapuuzi sana nyie!
Bado uwazi hakunaKinacho kusumbua wewe ni chuki na ukabila hakuna jambo jingine, na kwa sababu ujinga ni wa kwako na hauna madhara mama ataendelea na kazi na atafanya vizuri kabisa kama unavyo ona watoto wako na wa wadogo zako kijijini huko wanaenda kusomea madarasa yenye tiles na roofing ya gypsum board
Wewe Mnaojiita Tanzania Leaks jibu inshaallah utalipata leo.Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?.
Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha kwa maneno yake lakini nahisi kuna kitu hapa hakiko sawa hususani kwenye kukopa madeni kwenye utawala wa Rais Samia!.
Waingereza wanasema ujumbe wa Ndugai sent and delivered mambo mengine ni kuwahadaa wananchi na kuweka sawa maslahi yao!.
Tuache kumsakama tu Spika ila tujadili sasa kuhusu Trillion 10 pamoja na tozo ndani ya miezi 9 zimefanya nini?.
Serkali kama ilivyoombwa kutoa ufafanuzi kwenye akiba ya fedha za kigeni na hapa tunaomba ufafanuzi juu ya kauli ya mkopo wa trillion 10 kama Mbatia na wengineo wanavyosema.
Unataka ufafanuzi kwa porojo? Weka tawimu za ukweli uone zinavyojifafanua.Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?.
Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha kwa maneno yake lakini nahisi kuna kitu hapa hakiko sawa hususani kwenye kukopa madeni kwenye utawala wa Rais Samia!.
Waingereza wanasema ujumbe wa Ndugai sent and delivered mambo mengine ni kuwahadaa wananchi na kuweka sawa maslahi yao!.
Tuache kumsakama tu Spika ila tujadili sasa kuhusu Trillion 10 pamoja na tozo ndani ya miezi 9 zimefanya nini?.
Serkali kama ilivyoombwa kutoa ufafanuzi kwenye akiba ya fedha za kigeni na hapa tunaomba ufafanuzi juu ya kauli ya mkopo wa trillion 10 kama Mbatia na wengineo wanavyosema.
Wacha ujinga. Wewe porojo ulizokuja nazo umekuja na ushahidi upi?SIyo tu kutoa ufafanuzi bila ushahidi huku wanajisifia wanakusanya kodi sijui 2.5T lakini hatujui zinaenda wapi, tuna taka ushahidi nani amelipwa nini in details with vivid evidence
Umeeanza udini wewe bibi, mbona kipindi cha JPM ulipotea ulikuwa hutetei chochote mpk ulihama JF?Wacha ujinga. Wewe porojo ulizokuja nazo umekuja na ushahidi upi?
Mna stress tu, hakuna zaidi.Umeeanza udini wewe bibi, mbona kipindi cha JPM ulipotea ulikuwa hutetei chochote mpk ulihama JF?
ha ha ha nimekukumbuka aiseeMna stress tu, hakuna zaidi.
Mama D 🤣🤣🤣Mungu ibariki Tanzania
Mna stress tu, hakuna zaidi.