Awamu ya Sita inaendeleza tabia ya kuitenga mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na Kusini

Ni nini Muhimu wa hili tamasha? Gharama anazotumia kwenda huko Kilimanjaro inalipwa na Nani?
Badala ya kwenda kukagua miradi na kupitia vikao vya chama kumpata spika makini Anazurura tu.
 
Yaani huyu mleta mada nimemchunguza alikuwa na chuki sana na kanda ya ziwa! Alivyo bwege alidhani baada ya mama Samia kuingia ataitosa hajui kuwa kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini ndo injini za nchi hii!?
Acha kuvuta bangi ya chooni,inakuharibu
 
Acha kuvuta bangi ya chooni,inakuharibu
Nimekwambia wewe ni mpumbavu kumbe matusi yote kwa awamu ya tano ni kwa kuwa ulihisi haiwapendi kanda ya nyanda za juu Kusini! Nyie endeleni si mnarais wenu Sugu! Endeleeni kujenga majumbani ya tope kama yalivyojazana hapo Mbalizi! Hiyo Mbeya yenyewe utafikiri zizi la nguruwe! Hakuna mpangilio nyumba za ovyo shagarabagara!
 

Uko sahihi kabisa ushauri wangu naishairi serikari yetu kuunda mfumo wa centralise ili Selikali kuu uwepo kwa maana ya kupata gawio lao basi ! Na fesha zingine mikoa iamue na kujikita katika miradi ya mkoa husika ,Serikali kuu ibaki kukagua na kucontral matumizi Sasa hv wanakusanya na kupeleka kwenye interest ya wakubwa sio sawa
 
Nafurahi kuona kumbe hili ulishalisema..
Ngoja tuone...
 
Ila data za BOT zinasema Ruvuma ni tajiri kuliko Arusha hivyo mpaka hapo mpo vizuri.
 
Hahahah wa kusini mtusamehe! Mpunguze ushirikina watu wafanye maendeleo basi khaaah! Yani mpaka mwaka 2022 njiani kuna nyumba za makuti
 
Kaskazini mwa Tanzania kumejengeka ngome za upinzani, CCM inajikuta inaingia gharama kubwa za kushawishi wananchi kupitia maendeleo kumbe ndio inajikuta inasahau upande mmoja. Ila msiaminishane sana haya mambo, kuna mkoa unaitwa Kigoma, nitarudi baadae.
 
Ndio mkuu,hawaleti miradi ndio maana hawaji .
Kila kukicha huwa unasema nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini ina miradi mingi na uchumi mkubwa kuliko kanda ya ziwa ukadiriki kusema ata Mwanza inazidiwa na njombe sasa mbona unalia lia nini? Acha rais apeleke maendeleo kwanza sehemu za maskini huko Mwanza na mikoa ya kaskazini then atawakumbuka nyie matajiri wa njombe.
 
Wanaleta miradi midogo midogo haina hadhi ya Rais .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…