init
Senior Member
- Mar 22, 2021
- 115
- 109
Wala hakuna uchochezi, watawala waikumbuke Kusini. Hongera MH Kassim Majaliwa kwa kuwa Mstari wa mbele kwote upo. Mikoa ya Kusini hata tuviwanda twa kuchakata sembe hamna. Mtwara gas walipiga bomba mchuchuma chali hadi leo. Kimsingi watawala wakisikia wakumbuke. Mama Karibu kusini utusalimie 2025 yaja.Naam acha jazba kuandika uchochezi