Awamu ya sita si awamu ya tano, hongera mama Samia

Mpaka Sasa Sijaona Kipaumbele cha Huyu mama, anafurahisha uma na wakosoaji wa Awamu ilopita, sijui anachokwepa ni kukosolewa ? Nafsi yangu inakataa kumwamini huyu Mama.
 
Hauko peke yako. Hata hawa hapa:

IMG_20210218_174254_207.jpg

Wana machungu sana na askofu Rashid kwa kutokufanya ile kazi yake pendwa ya kutofufua wafu.

Hiiiiii!
 
Back
Top Bottom