Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Leo kwenye kipindi chao cha minyama kitenge ametoa maoni yake ya kwamba hivi sasa watu wanapenda kugombea nafasi ndani ya CCM kuliko awamu iliyopita kwa sababu awamu iliyopita kuna maeneo watu walipita bila kupingwa.
Kwa takwimu za uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020 vijana wengi walichukua form na kugombea nafasi ndani ya CCM kwa sababu Moja tu watu waliamini kuna usawa na yeyote anaweza kushinda nafasi yoyote.
Je hivi sasa kuna Imani ya usawa kwa watu au hivi sasa watu wana pesa nyingi kitu kinachopelekea watu kuwa na mashaka juu ya kwenda kuchukua form na kugombea nafasi mbalimbali ndani ya chama?.