Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #121
Tatizo si ngozi , ni akili au short of.Kwakweli inafikirisha sana. Jinsi Magufuli alivyojipambanua kulinda mali za umma akateua wazalendo kila mahali na sasa haya ndio matokeo kila mradi. Hii ngozi kweli imelaaniwa.
Mkuu kuna watu serikalini wana vichwa vigumu sana.Hili jambo mimi nilishindwa kabisa kulielewa, vifaa ambavyo vinaenda kusaidia wananchi serikali inagoma kabisa kuvitoa! Sasa walipata faida gani? Kodi hawajapata, wananchi huduma hawajapata. Si wangeweka special agreements, kila siku 50pc ya revenue iende kulipa kodi, how difficult was that! Watanzania hatujui ni namna gani Mungu ametuokoa na lile jitu.
Na huu ujinga wa BRT Phase 1 ndio umetunyima pesa ya Phase II na III, World Bank waligoma kutoa pesa tena. Maana hii ya kwanza tumechemka.
Shida sio mjadala, shida ni kujadili kitu ambacho msingi wake hujaelewa. My original post had nothing to do na kuchezea mali za serikali, you're way off the markNooo! Not genius! Totally human level quality! Kama huna quality hizo, I am sorry! Jitahidi uinuke. Ndo umuhimu wa JF na mijadala yetu.
Unafahamu kuwa huu mradi unaendeshwa na Serikali kwa amri ya Sadist Jiwe?Huwezi kumtoa mwekezaji na kuvunja mkataba kama huna vigezo. Mwisho wa siku serikali itashitakiwa na kumlipa fidia mwekezaji kitu ambacho ni hasara kwa mlipa kodi. Dawa ni kumbana mwekezaji atimize wajibu wake, kama akishindwa ndio unapata sababu ya kuufuta mkataba.
60% ni shida.Magu kwa UDART alibugi,hata pale wananchi walipopaza sauti hakujali.
Kwanini Waziri Mkuu anakuja sasa wakati shirika limeishateketea?
Uza UDART wanaume wa shoka wafanye kazi.
Hiyo inahusiana nini na kuondoa au kuharibika kwa mfumo wa ukataji wa ticket kwa njia ya electronic? Unajua nyie tatizo lenu mnapenda kuchanganya vitu kwa kutojua nani anaye wajibika. Mnataka ubepari kwa fikra za kijamaa.Unafahamu kuwa huu mradi unaendeshwa na Serikali kwa amri ya Sadist Jiwe?View attachment 1758663
Ni moja ya masharti ya ubia na mwekezaji, mwekezaji hawezi kufanya maamuzi kipekee bila ya serikali kukubaliana nayo. Serikali ina voting rights.Unafahamu kuwa huu mradi unaendeshwa na Serikali kwa amri ya Sadist Jiwe?View attachment 1758663