Awamu ya Tano kuondoka ada Ili mzazi ale keki ipi ya nchi hii

Mawematatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
468
Reaction score
608
Sikuona sababu yoyote kumuachia malaika wa watu na vijana waende shule hadi kidato cha nne Bure.

Nchi yetu tangu uhuru tunaijenga. Wazee wetu walijenga nchi kwa nguvu nyingi wakiendelea kutangukia mbele ya haki. Sisi tusome Bure Bure bila hata senti kwa keki ipi tuliyohangaika nanyo...

Kuchangia sh 20, 000 ni Ishu kweli?
 
Najua tu wewe ni yaliyomo. Kurasa zaja, tujiandae.
 
Back
Top Bottom