ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 1,974
- 2,920
Kweli wewe ni kichefu chefuAcha kurahisisha mambo. We are way far behind to do that. Hii reli ya zamani ya kutembea km 70 kwa saa tumeshindwa KUKARABATI (Acha kuijenga from the scratch) mpaka tumempa mchina, sembuse hiyo ya kukimbia km 160 kwa saa? These people who think they can use local experts to build that railway must be daydreaming!
bwhahaaa...na ni kwel ujenzi ulianza miska mitatu iliyopita....Kipande chapili cha ke sgr (120km) kimejengwa sasa miaka tatu..ukienda site mchina hafanyi kazi anawatongoza wasichana wa maasai
bwhahaaa...na ni kwel ujenzi ulianza miska mitatu iliyopita....Kipande chapili cha ke sgr (120km) kimejengwa sasa miaka tatu..ukienda site mchina hafanyi kazi anawatongoza wasichana wa maasai
bwhahaaa...na ni kwel ujenzi ulianza miska mitatu iliyopita....Kipande chapili cha ke sgr (120km) kimejengwa sasa miaka tatu..ukienda site mchina hafanyi kazi anawatongoza wasichana wa maasai
Mamaamake,umenikumbusha mbali sana mkuu[emoji23] nilishuhudia kwa macho yangu jamaa yangu mmoja yuko wizara ya madini sasa,Akimkatikia demu mmoja wamekutana kwenye treni mpaka demu akakojoa na abiria wengine tupo tuu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Jamani mie nakumbuka lile treni letu enzi tunasoma!
Yaani dar mza siku tatu ilikuaje raha!
Bro wangu alipata mke humo humo!
Hata uwe domo zege mmekaa na mtoto mkalee kwa siku tatu mfululizo lazima kieleweke tu!
Daaah nimecheka mpka machozi yametoka mkuuMamaamake,umenikumbusha mbali sana mkuu[emoji23] nilishuhudia kwa macho yangu jamaa yangu mmoja yuko wizara ya madini sasa,Akimkatikia demu mmoja wamekutana kwenye treni mpaka demu akakojoa na abiria wengine tupo tuu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Wewe endelea kuuza m.Ku...u hapo Mombasa mana ndo kazi ulioichagua,mana kazi hamna jubilee wamefisadi pesa yote ya nchi.only in tanzania kitu cha bei chee ndio bora....hahahaaaa...pesa hamna..unafanya mchezo na jiwe...sasa anatafuta mbinu ya kuwapiga hao wafanyikazi hela za mboga...alafu hapo ujue tayari ni kitu low quality...
bwahahaa..kumbe hta ni dondocha la ccm...kila kitu ndiooo fuata...Wewe endelea kuuza m.Ku...u hapo Mombasa mana ndo kazi ulioichagua,mana kazi hamna jubilee wamefisadi pesa yote ya nchi.
Sasa uongo uko Mombasa hapo hopeless unasubili watalii wa kiitalianobwahahaa..kumbe hta ni dondocha la ccm...kila kitu ndiooo fuata...
kwhyo musemo yako ya leso hainishtui..hhh
bwahahaaaa..mombasa kuna watalii wakitaliano...hehee...hayo ndo matatizo ya kusimuliwa story vijiweniSasa uongo uko Mombasa hapo hopeless unasubili watalii wa kiitaliano
Lakini kuuza mndu..Ku ni kwelibwahahaaaa..mombasa kuna watalii wakitaliano...hehee...hayo ndo matatizo ya kusimuliwa story vijiweni
Wewe akili finyu sio wote wako nazo, wewe ukiona serikali imeweka mkandarasi wa kigeni wakati mwingine sio kwa sababu hakuna mkandarasi mzawa bali ni moja ya sharti la financierAcha kurahisisha mambo. We are way far behind to do that. Hii reli ya zamani ya kutembea km 70 kwa saa tumeshindwa KUKARABATI (Acha kuijenga from the scratch) mpaka tumempa mchina, sembuse hiyo ya kukimbia km 160 kwa saa? These people who think they can use local experts to build that railway must be daydreaming!
Akili zako zimenyewa na ngedere!Wewe akili finyu sio wote wako nazo
Feasibility studies za BRT, Reli, barabara, madaraja na hata kwenye mawasiliano (rada) kote tumefanya wenyewe. Kuweka mataluma tumekuwa tukifanya wenyewe siku nyingi tuu na hiyo ya kuweka tuta ni civil work ambayo ndiyo taaluma kongwe ya kiuhandisi Tanzania.Acheni hayo mawazo ya kijinga. Mnaweza mkawa mnafanya kazi na Waturuki ila wao wana teknolojia yao ambayo ni siri... Wachina wemechukua engine za ndege za General Electric na Rolls Royce. Wamebomoa kipande kimoja na kutengeneza kama hicho copy and paste. Ila wakija kutengeneza engine ina fail...
Kumbe mzungu kuna processes amefanya nyie mkijaribu kuiga mnakwama.
Hicho kipande kitachojengwa na Watanzania, mtashangaa ndio treni zitarudi kwenda kasi ya Km 70 kwa saa kwa kuwa wakienda zaidi ya hapo treni zitakuwa zinadondoka.
Mbona Kenya wametumia teknolojia ya Mchina na bado treni imeshindwa kuvuka km 120/ saa? Ni kwa sababu teknolojia ya Mchina iko chini. Sasa ya Mtanzania ndio itakuwa chini zaidi ya mchina na ndio hapo tutarudi tulipotoka kwenye mwendo wa kobe.
Kwani unafikiri ujenzi wa reli ni mazingaombwe? Mass, length and time wanazosoma ulaya ndo hizo hizo tulizosoma sisi wamatumbi na ndiyo msingi wa kila kitu.Hakuna mfanyabiashara atauza ujuzi ili akose kazi. Labda kama Mkataba unawataka waturuki watutrain na kuna watu wanafuatilia utekelezaji wa hiyo clause ya mkataba.
Bei kubwa mara nyingi sio ubora bali ni saikolojia, watu huamini kitu cha gharama ni bora zaidi na huu ndio msingi wa ubepari (perception). Miaka ya nyuma nilikuwa natengeneza bidhaa fulani (software) nikiuza kati ya $90 -$100. Nikajifunza mahali kuhusu "perceived value" basi nikaongeza bei mara tatu zaidi bila kubadilisha chochote, cha ajabu mauzo yaliongezeka.only in tanzania kitu cha bei chee ndio bora....hahahaaaa...pesa hamna..unafanya mchezo na jiwe...sasa anatafuta mbinu ya kuwapiga hao wafanyikazi hela za mboga...alafu hapo ujue tayari ni kitu low quality...
Mambo ya kuita vitu vya kitaaluma utundu ni usanii.Feasibility studies za BRT, Reli, barabara, madaraja na hata kwenye mawasiliano (rada) kote tumefanya wenyewe. Kuweka mataluma tumekuwa tukifanya wenyewe siku nyingi tuu na hiyo ya kuweka tuta ni civil work ambayo ndiyo taaluma kongwe ya kiuhandisi Tanzania.
Kitu ambacho hatukuwahi kufanya ni teknolojia ya kielektroniki ya kutengeneza njia ya reli (Railway signalling) ambayo baada ya reli hii kukamilika tutakuwa tumepata ujuzi. Kiukweli siyo ujuzi bali ni utundu, haya mambo msingi wake ni mmoja ila ni kubadilisha vitu vidogo vidogo kwa kazi husika.
Kwani unafikiri ujenzi wa reli ni mazingaombwe? Mass, length and time wanazosoma ulaya ndo hizo hizo tulizosoma sisi wamatumbi na ndiyo msingi wa kila kitu.
Bei kubwa mara nyingi sio ubora bali ni saikolojia, watu huamini kitu cha gharama ni bora zaidi na huu ndio msingi wa ubepari (perception). Miaka ya nyuma nilikuwa natengeneza bidhaa fulani (software) nikiuza kati ya $90 -$100. Nikajifunza mahali kuhusu "perceived value" basi nikaongeza bei mara tatu zaidi bila kubadilisha chochote, cha ajabu mauzo yaliongezeka.
Yanaogopa hata kukarabati makao yao makuu pale ufipa hadi mzungu aje kuwasaidia.Mapinzani yanapinga