joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #61
Wewe ni miongoni mwa "Negative" society. Thread imeekeza vizuri sana jinsi ambavyo Tanzania inajiandaa kumalizia awamu za mwisho kwa kutumia wataalamu wake, lakini kwasababu wewe ni miongoni mwa watu wenye Negative attitude, lazima uonyeshe kupinga, kama pale Muhimbili tunaweza kufanya Operations za MOYO, na kupandikiza figo wenyewe , iweje tushindwe kutengeneza tuta la kupitisha reli, tena baada ya kujifunza kwa waturuki kwa miaka sita tukiwa nao field?.Mambo ya kuita vitu vya kitaaluma utundu ni usanii.
Ikiwa wamejipanga kufanya hivyo na wanaujuzi wa kushiba sipingi ila kama ni misisimo tu ambayo haina mipango ya kueleweka wanachokifanya kitaaluma kitaitwa '' Workaround''.
habari imeandikwa kimashaka sio confirmation.Wewe ni miongoni mwa "Negative" society. Thread imeekeza vizuri sana jinsi ambavyo Tanzania inajiandaa kumalizia awamu za mwisho kwa kutumia wataalamu wake, lakini kwasababu wewe ni miongoni mwa watu wenye Negative attitude, lazima uonyeshe kupinga, kama pale Muhimbili tunaweza kufanya Operations za MOYO, na kupandikiza figo wenyewe , iweje tushindwe kutengeneza tuta la kupitisha reli, tena baada ya kujifunza kwa waturuki kwa miaka sita tukiwa nao field?.
Taarifa imejieleza vizuri na ipo wazi sana MKUU, tatizo ni kwamba wewe umeitizama katika mtazamo hasi. Taarifa inasema kwamba, kunauwezekano wa awamu za mwisho kujengwa na wataalamu wa kitanzania, kwasababu, kwasasa hivi ,95% ya wanaojenga ni watanzania.habari imeandikwa kimashaka sio confirmation.
sasa kwa nini tusihoji katika angle zote mkuu.
sijaona mpango mkakati wa utekelezaji wa hayo maneno.
makataba ulisainiwa unatoa hiyo fursa.
Kuna mambo mengi mno hayapatikani kwenye hiyo habari ili ikidhi viwango vya kushangiliwa na kuichukua.
wengine sio waumini wa kushabikia nadharia na maneno ya kisiasa ambayo hayaonyeshi itakuwaje. Vingijevyo tuseme hii ni taarifa ya awali, habari husika itakuja.
Ni utundu tuu, unaotumia kanuni za kisayansi na kihisabati, usanii kwa upande mwingine hautumii kanuni maalumu.Mambo ya kuita vitu vya kitaaluma utundu ni usanii.
Hahahahaha, wakati Tanzania inajiandaa kujenga reli yake kwa kutumia wataalamu wake, Nyang' au hata maji ya kuchambia akitoka chooni ni shida kuyapata. Hiyo ndio maana halisi ya Failed state.Mtambo wa Konyagi unakamilikia Morogoro...[emoji23][emoji23]burret train bye bye. Huu ni mradi uliofeli Kama ule was ATCL, Bagamoyo Port na Koroshow.
Dah! Ina maana serikali ya danganyika imefilisika so wanataka kuajiri locals hata wasipolipwa hawatathubutu kufungua vinywa vyao kwa kumuogopa dikteta.Mtambo wa Konyagi unakamilikia Morogoro...😂😂burret train bye bye. Huu ni mradi uliofeli Kama ule was ATCL, Bagamoyo Port na Koroshow.
Hahahahaha, Nyang'au hata kuendesha train ni mchina, wakenya wanachapwa viboko na wachina wasipofagia ofisi za wachina. Failed state indeedDah! Ina maana serikali ya danganyika imefilisika so wanataka kuajiri locals hata wasipolipwa hawatathubutu kufungua vinywa vyao kwa kumuogopa dikteta.
Usishangae kuona jeshi lao likifanya hiyo kazi kwa amri ya DICTATOR
Aisee! Si kwa maumivu hayo Mr. Failed state.Hahahahaha, Nyang'au hata kuendesha train ni mchina, wakenya wanachapwa viboko na wachina wasipofagia ofisi za wachina. Failed state indeed
Kafilisika hata kabla kufika MorogoroDah! Ina maana serikali ya danganyika imefilisika so wanataka kuajiri locals hata wasipolipwa hawatathubutu kufungua vinywa vyao kwa kumuogopa dikteta.
Usishangae kuona jeshi lao likifanya hiyo kazi kwa amri ya DICTATOR
Hahahaha, si hata Bagamoyo mlikuwa mnajiandaa? ATCL vile vile? Hizo zimeishia wapi dead state?Hahahahaha, wakati Tanzania inajiandaa kujenga reli yake kwa kutumia wataalamu wake, Nyang' au hata maji ya kuchambia akitoka chooni ni shida kuyapata. Hiyo ndio maana halisi ya Failed state.
Barabara za Tanzania zimejaa mahandaki. Hiyo highway mtakayojenga haitamaliza mwaka bila kukarabatiwa.Mbongo ni fundi sana na mtendaji mzuri sana akisimamiwa na kubanwa na ngozi nyeupe lakini mpe kandarasi yeye sasa!!!! maweeeee!!! hakuna rangi utaacha kuona....kwanza kazi itauzwa mpaka mtu wa nne ndio anaenda kufanya level zote ni cha juu tuu. Yule wa mwisho sasa mafundi wanajiibia mafuta(kupiga nyoka) , safuji na nondo watakavyo mwisho wa siku kazi inakuwa mbovu na kiwango duni. Yule aliyepewa kazi tayari hata site hajawahi kushuka kishakua bodi tayari anatumbua maisha, kutoa misaada kwenye jamii ili akagombeee
Ninyi si hata SGR lenu la zamani limewashinda, njaa imewashinda, MAJI ya kuchambia hapo CBD yamewashinda, Slums Kibera na Korogojo na Kawangware zimewashinda,. Failed state.Hahahaha, si hata Bagamoyo mlikuwa mnajiandaa? ATCL vile vile? Hizo zimeishia wapi dead state?
Mbona unaongea kama mtu anaetaka kujinyonga😆😆😆😆😆tatizo sio kuwa na wataalamu...ni hela ndio hamna...wuhuhuhuuuuu..
Mapinzani yanapinga
Umesahau Turkana Buda boss.Ninyi si hata SGR lenu la zamani limewashinda, njaa imewashinda, MAJI ya kuchambia hapo CBD yamewashinda, Slums Kibera na Korogojo na Kawangware zimewashinda,. Failed state.