joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #61
Wewe ni miongoni mwa "Negative" society. Thread imeekeza vizuri sana jinsi ambavyo Tanzania inajiandaa kumalizia awamu za mwisho kwa kutumia wataalamu wake, lakini kwasababu wewe ni miongoni mwa watu wenye Negative attitude, lazima uonyeshe kupinga, kama pale Muhimbili tunaweza kufanya Operations za MOYO, na kupandikiza figo wenyewe , iweje tushindwe kutengeneza tuta la kupitisha reli, tena baada ya kujifunza kwa waturuki kwa miaka sita tukiwa nao field?.Mambo ya kuita vitu vya kitaaluma utundu ni usanii.
Ikiwa wamejipanga kufanya hivyo na wanaujuzi wa kushiba sipingi ila kama ni misisimo tu ambayo haina mipango ya kueleweka wanachokifanya kitaaluma kitaitwa '' Workaround''.