Awamu za mwisho za SGR ya Tanzania kujengwa na wataalamu wa Kitanzania.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Kuna uwezekano mkubwa sana kwamba, phases 4&5 zikajengwa na wataalamu wa kitanzania baada ya waturuki kujenga awamu tatu za kwanza. Hii inajionyeshwa wazi kutokana na kwamba 95% ya wafanyakazi sasa hivi ni watanzania, pia hili jambo alilisema waziri wa miundombinu wa Tanzania, na hapa mkurugenzi wa TRC pia analisema, hii itasaidia pia kuwasaidia majirani zentu kujenga reli zao kwa bei nafuu baadala ya kutafuta wakandarasi kutoka China.
 
Acheni hayo mawazo ya kijinga. Mnaweza mkawa mnafanya kazi na Waturuki ila wao wana teknolojia yao ambayo ni siri... Wachina wemechukua engine za ndege za General Electric na Rolls Royce. Wamebomoa kipande kimoja na kutengeneza kama hicho copy and paste. Ila wakija kutengeneza engine ina fail...
Kumbe mzungu kuna processes amefanya nyie mkijaribu kuiga mnakwama.

Hicho kipande kitachojengwa na Watanzania, mtashangaa ndio treni zitarudi kwenda kasi ya Km 70 kwa saa kwa kuwa wakienda zaidi ya hapo treni zitakuwa zinadondoka.
Mbona Kenya wametumia teknolojia ya Mchina na bado treni imeshindwa kuvuka km 120/ saa? Ni kwa sababu teknolojia ya Mchina iko chini. Sasa ya Mtanzania ndio itakuwa chini zaidi ya mchina na ndio hapo tutarudi tulipotoka kwenye mwendo wa kobe.
 
Hakuna mfanyabiashara atauza ujuzi ili akose kazi. Labda kama Mkataba unawataka waturuki watutrain na kuna watu wanafuatilia utekelezaji wa hiyo clause ya mkataba.
 
Akili zako ni za enzi za akina Vasco Dagama aka akili za kitumwa.

Karne hii dunia ni kijiji kila nchi inatafuta urafiki na nchi nyingi kwa manufaa ya kizazi kijacho.
Hakuna siri kwenye technology dugu. Kinachofanyika ni supply chain tu ili kila nchi ipate.
 
Hahahahaha, Ninakumbuka hata waturuki walipoanza kujifunza ujenzi wa reli kutoka kwa waliokua wanawajengea, walidharauliwa na kuambiwa hawawezi, Leo hii wanapambana na hao waliowadharau, kila kitu ni kujifunza, mbona kampuni linalojenga super high way toka Dar hadi Kibaha, 12 lanes na flyovers zote ni watanzania, wakati wenzetu wakenya walijengewa na wageni?, kila kitu ni kujifunza na kupata vifaa vya kisasa, bahati nzuri kiwanda cha mataruma ya zege wameshatujengea. Muhimu ni kujiamini na kuwa na ujasiri, Yes we can"
 
Unajua kuna mijitu inakera kweli. Ni mimbumbumbu haijui chochote na wala haiwezi kufundishika. Hiyo mijitu inadhani watanzania wote tuko hivyo.

Kwa upande wa software and all Government software zinatengenezwa na wa bongo. Mwanzo hawa hawa walitucheka sana wakati tunajifunza.
Check malipo yote ya serikali kwa sasa ni online. Wafanyakazi wote wa serikali wapo kwenye portal.

Hawa wanaobeza kila kitu ni wazembe na mimbumbumbu ya kufa mtu.

Kuna kijana mmoja tuko naye ofsini jamaa linapiga kelele kila siku kulalama. Siku moja nikataka nijue point zake. Jamaa hajui chochote linapiga kelele tu.
Few year ijayo watu wa namna hii watakuwa ombaomba bila cha kufanya maana muda utakuwa umewaacha.

Nakumbuka enzi za Nyerere kuna sera ilitolewa ya kilimo cha kufa na kupona. Maeneo ya mbezi beach yalikuwa yakigawiwa bure kabisa. Watu wakati ule walipuuzia. Sasa hivi ni wazee wanayatamani nakula kwa macho.
 
Unajua kuna mijitu inakera kweli. Ni mimbumbumbu haijui chochote na wala haiwezi kufundishika. Hiyo mijitu inadhani watanzania wote tuko hivyo.

Kwa upande wa software and all Government software zinatengenezwa na wa bongo. Mwanzo hawa hawa walitucheka sana wakati tunajifunza.
Check malipo yote ya serikali kwa sasa ni online. Wafanyakazi wote wa serikali wapo kwenye portal.

Hawa wanaobeza kila kitu ni wazembe na mimbumbumbu ya kufa mtu.

Kuna kijana mmoja tuko naye ofsini jamaa linapiga kelele kila siku kulalala. Siku moja nikataka nijue point zake. Jamaa hajui chochote linapiga kelele tu.
Few year ijayo watu wa namna hii watakuwa ombaomba bila cha kufanya maana muda utakuwa umewaacha.

Nakumbuka enzi za Nyerere kuna sera ilitolewa ya kilimo cha kufa na kupona. Maeneo ya mbezi beach yalikuwa yakigawiwa bure kabisa. Watu wakati ule walipuuzia. Sasa hivi ni wazee wanayatamani nakula kwa macho.
Babu yangu alinisimulia kwamba katika kipindi chao, wazungu walikuwa hawawezi kuwaruhusu waswahili kuendesha gari, waliamini mtu mweusi hana uwezo wa kuendesha gari, miaka ilivyozidi kwenda waafrica wakaanza kuendesha gari lakini wazungu walikuwa hawapandi gari yenye dereva wa kiafrika, Leo huu tunarusha dream liners, na wazungu wanazipanda bila kuuliza na wakiwa hewani wanapata usingizi mzito bila wasiwasi.

Niliwahi kusikia kwamba Charles Njonjo, M wanasiasa wa Kenya, alishawahi kusema hawezi kupanda ndege inayorushwa na mtu mweusi, wakati yeye mwenyewe ni mweusi zaidi ya lami mbichi. Hawa wanaopinga uwezo wa watanzania kujenga reli, ni "New edition" ya Charles Njonjo na wenzake.

Tunawahakikishia wa Africa kwamba, Tanzania itakua nchi ya kwanza katika kujenga reli yake na reli za nchi jirani, sio tu kwa kutumia pesa yake, bali hata wataalamu wake. Hiki kimya cha Magufuli kuahirisha uzinduzi wa Kipande cha Isaka to Kigali, alichopanga kuzidua October 2018, unakishinda kikubwa sana, "take my words"
 
Tayari reli ya zamani inafanyiwa ukarabati na watanzania.
Vilevile tumetoa vijana na kwenda kutoa msaada uganda kwenye ukarabati wa reli yao kutoka port Bell kwenda Kampala.
Tumemewa fanyia bure.
Baada ya hapo nahisi tutatoa mkopo wa ujenzi wa Reli nchini Congo. Yangu macho tutaona.
 
Kuna uwezekano mkubwa sana kwamba, phases 4&5 zikajengwa na wataalamu wa kitanzania baada ya waturuki kujenga awamu tatu za kwanza. Hii inajionyeshwa wazi kutokana na kwamba 95% ya wafanyakazi sasa hivi ni watanzania, pia hili jambo alilisema waziri wa miundombinu wa Tanzania, na hapa mkurugenzi wa TRC pia analisema, hii itasaidia pia kuwasaidia majirani zentu kujenga reli zao kwa bei nafuu baadala ya kutafuta wakandarasi kutoka China.

only in tanzania kitu cha bei chee ndio bora....hahahaaaa...pesa hamna..unafanya mchezo na jiwe...sasa anatafuta mbinu ya kuwapiga hao wafanyikazi hela za mboga...alafu hapo ujue tayari ni kitu low quality...
 
Big things start from humble beginning. Hizo nchi zote zilizoendelea zilianza kidogo kidogo, bure kuishi katika NYUMBA mbaya unayoimiliki mwenyewe, kuliko katika ghorofa la kupanga, ukikosa pesa ya "rent", utadhalilika kama Kenya inavyodhalilishwa na kunyanyaswa na wachina.

Kitu kimoja ninakuhakikishia, Tanzania kwa sasa ni " role model and eye opener" kwa nchi za Africa, tutaanza kujenga wenyewe SGR yetu, tutawajengea Rwanda, Burundi na Uganda.
 
Unaongea kama burula wa kibera. Hivi unajua quality ndio nini? Leta viwango vyake ufanye comparison..Reli yenyewe ya umeme, Reli continous welded sio ya kuangishwa na vi nut na ma screw,Reli ina uzito wa 35t axle, Reli inaenda. Kwa 160kph..Hizo ni ndoto kenya, mchina kaingiza serikali matopeni huku akiwaonyesha umaridadi wa stedi zake wala sio ubora wa reli yenyewe..Mwishowe baada ya kupiga hela ndefu reli akaiwacha porini naivasha😂😂
 
Unaongea kama burula wa kibera. Hivi unajua quality ndio nini? Leta viwango vyake ufanye comparison..Reli yenyewe ya umeme, Reli continous welded sio ya kuangishwa na vi nut na ma screw,Reli ina uzito wa 35t axle, Reli inaenda. Kwa 160kph..Hizo ni ndoto kenya, mchina kaingiza serikali matopeni huku akiwaonyesha umaridadi wa stedi zake wala sio ubora wa reli yenyewe..Mwishowe baada ya kupiga hela ndefu reli akaiwacha porini naivasha[emoji23][emoji23]
Hahahahaha, Hahahahaha, wahurumie kidogo.
 
Big things start from humble beginning. Hizo nchi zote zilizoendelea zilianza kidogo kidogo, bure kuishi katika NYUMBA mbaya unayoimiliki mwenyewe, kuliko katika ghorofa la kupanga, ukikosa pesa ya "rent", utadhalilika kama Kenya inavyodhalilishwa na kunyanyaswa na wachina.

Kitu kimoja ninakuhakikishia, Tanzania kwa sasa ni " role model and eye opener" kwa nchi za Africa, tutaanza kujenga wenyewe SGR yetu, tutawajengea Rwanda, Burundi na Uganda.
heheeee..hamna pesa za kumlipa mturuki...bwahahaaa..
 
Unaongea kama burula wa kibera. Hivi unajua quality ndio nini? Leta viwango vyake ufanye comparison..Reli yenyewe ya umeme, Reli continous welded sio ya kuangishwa na vi nut na ma screw,Reli ina uzito wa 35t axle, Reli inaenda. Kwa 160kph..Hizo ni ndoto kenya, mchina kaingiza serikali matopeni huku akiwaonyesha umaridadi wa stedi zake wala sio ubora wa reli yenyewe..Mwishowe baada ya kupiga hela ndefu reli akaiwacha porini naivasha😂😂
mbna povu braza...we kubali hamna pesa...
 
heheeee..hamna pesa za kumlipa mturuki...bwahahaaa..
mbna povu braza...we kubali hamna pesa...
Umeona mturuki akiiwacha reli porini? Kenya hata kilometer moja haiwezi jenga kwa hela zake..Mchina akidinda na pesa zake Rais anaingia depression anajifungia ikulu hawezi toka nje sababu ya aibu.
 
Kwa hizi habari, hidden message no kuwa hata hiyo Morogoro ikifika no bahati 😂😂😂. Hi awamu ya tano ni kiki tu.
 
Back
Top Bottom